Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Kwa kisingizio cha kuenzi na kuthamini mchango wa mhusika kwenye sekta ya miundombinu nchini.Naona watu wawili wanarushiana majina..
Hahaha heshima itoke wapi tena, labda huko CCM na kwenu uvcc a.k.a JESHI LA AKIBA.Big mistake !
Ingekuwa mimi ni Magufuli ningekataa, hiyo ingempa heshima zaidi kwamba hapendi makuu, ...
JPM ndiye aliyetoa fedha za kujenga daraja hili karibu Sh bilioni 699.2 na linajengwa hapa kama alivyopendekeza mwenyewe, kwanini tusiliite jina lake........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vijana siku hizi huo usemi wenu unaniacha hoi snKwa kisingizio cha kuenzi na kuthamini mchango wa mhusika kwenye sekta ya miundombinu nchini.
'Nasema uongo ndugu zangu?'
Na aliye liasisi ni JK?mbona daraja la ifakara linaitwa magufuli.
Imebidi nirudi kuitizama tena..hehemkuu hiyo picha mbona sio ya lile daraja, umeiokota wapi
Ndo sio wewe sasa,yeye amefurahi na ni heshima kwake.Big mistake !
Ingekuwa mimi ni Magufuli ningekataa, hiyo ingempa heshima zaidi kwamba hapendi makuu, ...
Hiyo nyingine itaitwa JPM.Kunatofauti kidogo.Nyingine wataita Pombe nk nkmbona daraja la ifakara linaitwa magufuli.