Daraja la Kigongo-Busisi rasmi sasa kujulikana kama Daraja la JPM

Daraja la Kigongo-Busisi rasmi sasa kujulikana kama Daraja la JPM

Mshamba ni mshamba tu,nyerere hakuita hata daraja moja jina lake...shida ni ushamba
Kwa hiyo kavunja Katiba ya JMT, au??? Au JKN ndiye rubber stamp kila alichofanya au asichofanya lazima JPM naye afanye ama asifanye??? Haya Nyerere alimchakaza Nduli basi, kwa hiyo JPM naye amfurumshe M7??? Maisha ya kukariri kamwe hayajawahi kumwacha mtu salama!

Nadhani sasa unaelewa nani hasa mshamba, tena mwenye jembe-kiserema butu!!?
 
Big mistake !

Ingekuwa mimi ni Magufuli ningekataa, hiyo ingempa heshima zaidi kwamba hapendi makuu, ...
I agree, wanapoteza majina ya asili ya maeneo hayo na kuweka watu. Kuna siku hata ziwa Tanganyika watalibadilisha jina, angalia mto Rufiji walivyobsdilisha jina la lile daraja.
 
Back
Top Bottom