God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
Muungano wenyewe huu sidhani kama utadumu kwa muda mrefuSerikali imesema itatengeneza daraja kutoka bandari ya dar es salaam hadi visiwa vya unguja na pemba. wamesema wataweka njia panda ya kwenda sehemu mbali mbali za unguja na pemba.
Pia kutakua na daraja la kuunganishwa visiwa viwili vya unguja na pemba ili kuboresha usafiri huo.
Daraja hilo litakuwa bora na kubwa zaidi ulimwenguni kushinda lile la china. Tyari wataalamu na timu ya mainjinia imewasili jana usiku kuchora ramani za daraja hili.
Tutaendelea kuwapa taarifa mbali mbali watanzania.
Imetolewa na ripota wa chit chat dar es salaam
Imetolewa na ripota wa chit chat dar es salaam
Hata ukivunjika hilo daraja litatumika tu,kutakuwa na mageti ya uhamiajiMuungano wenyewe huu sidhani kama utadumu kwa muda mrefu
Kwa jinsi walivyouchukia muungano hilo dalaja litavunjiliwa mbaliHata ukivunjika hilo daraja litatumika tu,kutakuwa na mageti ya uhamiaji
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwa jinsi walivyouchukia muungano hilo dalaja litavunjiliwa mbali
unaona mbali mkuu?Muungano wenyewe huu sidhani kama utadumu kwa muda mrefu