Daraja la kwenda Zanzibari litaanza kujengwa mwakani

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,033
Serikali imesema itatengeneza daraja kutoka bandari ya dar es salaam hadi visiwa vya unguja na pemba. wamesema wataweka njia panda ya kwenda sehemu mbali mbali za unguja na pemba.
Pia kutakua na daraja la kuunganishwa visiwa viwili vya unguja na pemba ili kuboresha usafiri huo.
Daraja hilo litakuwa bora na kubwa zaidi ulimwenguni kushinda lile la china. Tyari wataalamu na timu ya mainjinia imewasili jana usiku kuchora ramani za daraja hili.
Tutaendelea kuwapa taarifa mbali mbali watanzania.
Imetolewa na ripota wa chit chat dar es salaam
 
Muungano wenyewe huu sidhani kama utadumu kwa muda mrefu
 
Unafikr wenye boti zao watapenda hilo tangazo
 
Back
Top Bottom