Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

Ni mjinga tu anayeza kufikiri kuna kitu Ukraine itafanya ili urusi asitimize malengo yake na urusi ataendelea kuchukua mpaka Odessa na Ukraine hataweza kumzuia.
 
Dymitri Peskovu anakunywa matapu tapu. Muda wote sura yake Kama kanywa gongo na mapuya
 
Una ujinga mwingi sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mpaka leo wajinga hawajakubali kuwa Ukraine hana uwezo wa kuifanya chochote urusi na hawana uwezo wa kushinda isingekuwa msaada wa nchi zaidi ya 30 Ukraine angekuwa ameshashindwa na hizo nchi hazitaweza kuzuia ushindi wa warusi.
 
Kushinda na kuchukua Ukraine yote ndio malengo ya Putin,lakini kwa bahati mbaya imeshindikana na hataweza kushinda kabisa.
 
Kutokana na kulipuliwa Kwa daraja, Putin amesusa kusambaza ngano
Mytake:Kama Putin anatumia daraja kupitisha silaha ili kushambulia Ukraine kwanini lisilengwe?
+
++Ikulu ya Urusi Kremlin imesema hii leo kuwa inajiondoa kwenye makubaliano ya usafirishaji nafaka za Ukraine kupitia Bahari Nyeusi, saa chache baada ya ndege zisizo na rubani kushambulia daraja la Kerch ambalo ndilo pekee linaloiunganisha Urusi na Rasi ya Crimea. Makubaliano hayo muhimu ambayo kwa mwaka jana pekee yalisaidia kusafirishwa kwa shehena ya tani milioni 32 za nafaka, yalifikiwa ili kupunguza hofu ya uhaba wa chakula duniani hasa katika nchi zilizo hatarini zaidi. Ni zipi athari za uamuzi huu hususan kwa mataifa ya Afrika?

+++Umoja wa Ulaya hii leo umekutana na viongozi wa Amerika ya Kusini na visiwa vya Karibiki, huku wakiwa na matumaini ya kurejesha upya uhusiano ulioingia doa kufuatia mgawanyiko mkubwa juu ya biashara na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Kwenye mazungumzo yao, Umoja wa Ulaya umeashiria kufanya uwekezaji mkubwa kwenye mataifa ya kanda hizo kwenye miradi mbalimbali.

Source: DW Kiswahili
 
Kushinda na kuchukua Ukraine yote ndio malengo ya Putin,lakini kwa bahati mbaya imeshindikana na hataweza kushinda kabisa.
Nani kakuambia hilo lengo?lengo la putin ilikuwa kuwaokoa warusi kwenye mikoa yaliyokuwa ya Ukraine na ameweza kuyachukua yale mikoa na sasa hivi Ukraine wanawatamanisha wachukue Odessa pia
 
Nani kakuambia hilo lengo?lengo la putin ilikuwa kuwaokoa warusi kwenye mikoa yaliyokuwa ya Ukraine na ameweza kuyachukua yale mikoa na sasa hivi Ukraine wanawatamanisha wachukue Odessa pia
Putin alianza kwa kumpa zelensky masaa 24 na majeshi kujisalimisha mpaka sasa kuomba yaishe lakini amwachie cremea na mikoa 4,lakini wapi Ukraine anazidi kumpelekea moto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…