Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

Usiwasemee wameshambulia hadi shule na hospital, ikulu wameshindwa tu
Yaani ikulu iliyopo peupe washindwe ila NATO command center iliyo chini futi 400 ikapigwa, mitambo inayolinda ikulu ikapigwa....una shida kwe ye kufikiria mkuu..
 
Hii daraja muhimu sana kwa Urusi, ndio limeunganisha Urusi na Crimea.....
Urusi iligharamikia sana kutengeneza na kurekebisha hili daraja, yaani kulipiga ni kama umepiga moyo wa Putin...

Kyiv’s navy and Ukraine’s security service (SBU) carried out a ā€œspecial operationā€ using seaborne drones, an SBU source has told AFP.

Waterborne drones struck the sole bridge connecting Russia to the annexed Crimea peninsula on Monday, a major conduit for Russia’s troops in Ukraine, in a deadly attack which is said to have killed a civilian couple and injured their daughter.

The explosion hit the Kerch Bridge just hours before a crucial deal to export Ukrainian grain was to expire. There has not yet been word from talks in Istanbul, where Turkish and UN officials were trying to persuade Russia to agree another extension of the deal that was first signed there in July 2022.
Unakumbuka kipondo walichopewa mara ya kwanza kulilipua? Sasa tarajia zaidi
 
Hizi habari zako uwe unasimuliana na wanawake wenzio wakija kusuka saloon kwako
Nilisha mwambia tangu jana kwamba hasiwe anatuletea habari zake za udaku - tatizo hapa huyu jamaa ni bubu na kiziwi - mtu utategemea nini cha maana kutoka kwakwe zaidi ya majungu tu na kuupiga mwingi.
 
Majisemea tu, hivi mna habari inachukua dakika ngapi kombora la Urusi kurivirumishwa na kuichakaza Ikulu ya Merikani au mmesahau jinsi concrete bunker chini ya futi nane chini ya aridhi ilivyo kuwa nyanga nyanga na majenerali wakatolewa pumuzi fasta - kama unafikiri White House ni mbali sana haiwezi kufikiwa na lightening fast Russian hypersonic missiles in minutes from Russia you better think again.
 
Vingine ukitumia akili tu ya kawaida utapata majibu, yani awekewa vikwazo kwenye agro business hasa soko la Ulaya afu Ulaya faida izidi? hebu tuambie hilo soko jipya linalozidi la Ulaya?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sio mimi niliyesema hayo bali ni wachambuzi ambao wanafuatilia!Nimesikia hilo pia Aljazeera leo!
 
Putin matamanio yake siku zote ni Zenensky kupelekwa jongomeo na Kyv kuchukuliwa na Moscow.Lakini ndio mpaka Sasa ameshindwa na hajui afanye nini![emoji848]
Sidhan kama hyo nadharia ni kweli, kwasababu hajashindwa kufanya hivo, Ukrain ndio iliyokua fance yake dhidi ya NATO, sasa pilikapilika za NATO kupush nchi jiran ziwe NATO member ile kuendelea kuibinya Urus ibomoke zikapelekea Urusi iwe na plan B ya makubaliano kuwa yale majimbo yanayokaliwa na raia wenye asili ya Urusi ambayo ni Donbas region yawe majimbo huru yanayojitawala, hapo yanakaa kama kinga ya Urus dhidi ya nchi za NATO hata km Ukrain ikijiunga basi kupata madhara kwake inakua sio rahisi..
Kilichotokea ni kwamba West wakamshauri Ukrain asikubali kuwaachia uhuru Donbas maana(NATO) hawatafanikiwa kujikita mpakani mwa Urusi kama Sweden walivyofanya kuingia NATO, na kuiporomoa taratibu taratibu kwa kuwafanyia chokochoko kama wanavyotaman Chechen waigeuke Urusi
Putin alivyoona Ukrain hatak kuwaachia Donbas na tayari ilishaanza movements za kujiunga NATO akalishauri baraza la Duma wamzuie Zelensky asijiunge NATO kwa hiyari au kwa lazima ilimrad asijiunge NATO makubaliano mapya yakaandaliwa na vikosi kuwa Zelensky asijiunge NATO na aziachie Donbas iwe huru(kwa mahesabu kuwa West baadae hawatakubali wataihonga na kuiforce Ukrain iingie ili NATO ipakane na Urusi hivyo kinga itakua Donbas iliyo huru)
Kweli West wakampigia Zelensky asikubaliane na yale matakwa ya Urusi...Zele akagairi makubaliano ambayo yalikua yamebaki ayasaini kabla ya masaa machache tuu kuingia kwenye deadline..ikabid Urusi aishambulie serikali ya Zelensky ili iachie Donbas iwe huru ilinde mipaka ya Urus...

Nadharia yako Urusi inaitaka Ukrain haina mashiko maana urusi atakua amepakana na Poland pakubwa sana kama ataichukua Ukrain nzima

##Ukraine’s NATO membership points both to the cause of the conflict and its solution: Take membership off the table for Ukraine, so the argument goes, and future wars between Russia and NATO will be prevented##
 
Kushinda na kuchukua Ukraine yote ndio malengo ya Putin,lakini kwa bahati mbaya imeshindikana na hataweza kushinda kabisa.
Akiichukua Ukrain nzima atakua amepakana na NATO, kitu ambacho Urusi inakikataa, na ndio sababu ya vita hii kupiganwa baada ya Ukrain kugoma kuziacha huru Donbas iwe kama mlinzi dhidi ya mipaka ya Urusi...

Fikiria upya uje uandike tena...
 
Nilisha mwambia tangu jana kwamba hasiwe anatuletea habari zake za udaku - tatizo hapa huyu jamaa ni bubu na kiziwi - mtu utategemea nini cha maana kutoka kwakwe zaidi ya majungu tu na kuupiga mwingi.
Kerch Bridge imepigwa vibaya sana, Putin yuko anatoa povu na Urusi tayari wameamua kuvuruga biashara ya ngano katika bahari nyeusi ili nyie masikini na ndugu zenu wengine walio katika migogoro na majanga mfe njaa. Endelea kubaki kwenye chungu.
 
Back
Top Bottom