Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

Unataka tujadiliane nini ambacho nikipya kwenye hiyo vita aliyoianzisha Putini?

Yeye anayoyafanya Ukraine toka mwanzo wa vita ni uharibifu wa kila aina ikiwemo miundo mbinu.
Kwanini Yeye akinyukuliwa kidogo anasema ni ugaidi aliofanyiwa?
Ngoja wamalize uchunguzi wakijiridhisha ni ugaidi ndio utaona kitakachofuata
 
Zelensky yupo mtaani tu na pia front lune anaonekana mara kwa mara.
Ila ex KGB mnyama mwenyewe Putler yupo kwenye bunker huko kafichama.
Putin ana majukumu mengi,Jukumu alilonalo Zele ni kupigana vita na kuomba silaha!
SMO ni sehemu ndogo sana ya majukumu ya Putin!
 
Baada ya daraja kubomolewa na Ukraine na Putin kushikwa na fadhaa wamepost hivi😂
.....
FB_IMG_1689665483778.jpg
 
kwa kweli tulisubiri sana afumue hako kainchi ka-Ukraine, kamemlezama hadi naumwa kwa raha, mimi mwanzoni niliingiwa hofu sana nilipoona msafara unakwenda Kyiv, ila ulivyofumuliwa na wabeba javelin, hehehe huwa nacheka sana kila nikikumbuka.
Uko kwenye denial mode,hakuna hoja/ukweli unaweza kuupokea!Hutaki kuuoona ukweli ili uendelee kuishi kwenye fantasy uliyojiwekea kichwani!
Huo ni ugonjwa,ukipata msaada mapema unaweza kupona!Tofauti na hapo utaendelea kuteseka na nafsi yako na kupelekea depression!
Get help!
 
Kerch Bridge imepigwa vibaya sana, Putin yuko anatoa povu na Urusi tayari wameamua kuvuruga biashara ya ngano katika bahari nyeusi ili nyie masikini na ndugu zenu wengine walio katika migogoro na majanga mfe njaa. Endelea kubaki kwenye chungu.
Mambo mengine bwana!! Kwani meli zinazo beba ngano zinapita juu ya daraja?? Mnapenda penda sana kuweka chumvi - taarifa na video zinazasema a couple ndio walipoteza maisha na mtoto mdogo kujeruhiwa lakini kiurahisia daraja lipo ngangari - halikuadhiliwa sana na vidrone hivyo mshenzi - lilijengwa kwa ufundi wa hali ya juu, hii ni mara ya ngapi kujaribiwa kuhujumiwa hata storm shadow zimejaribiwa lakini hazikuona ndani ziliwahiwa mapema sana, huko Syria kwa mfano Urusi ilitungua zaidi ya storm shadow zaidi ya 71 itakuwa Urusi bwana - watajaribu sana ku hujumu Kerch Bridge for political reasons lakini na kuhakikishia hawatafanikiwa, Warusi wako macho sana - western nations wataishia kurusha rusha vidrones visivyo kuwa na impact yoyote kwenye super structure ya bridge yenyewe.
 
Hujui Crimea ,Urusi ina kambi za kijeshi (Russian Navy base,main base of black sea fleet)vikosi ambavyo hupambana na Ukraine?Hilo daraja ni kiungo muhimu Sana Kwa Urusi kusafirisha silaha na wanajeshi kwenda uwanja wa mapambano.Russia baada ya kuona Meli zake ni hatarini kushambuliwa na drones za Ukraine za majini,Sasa wanatumia Hilo daraja kusafirisha silaha!
Hivi unajua uwezo wa ndege za kubeba mizigo za jeshi la Urusi. Warusi wana mpaka overcrafts za kubebea mizigo na wanajeshi - zinapita popote: ziwani,baharini, swamps nchi kavu na jangwani.
 
Ile ilikia trick ya kuwavuta wanazi waliokuwa wamekazana kuweka kambi Kherson...na kweli wakarudi Kyv mbiombio..kilichotokea Kherson unakijua vizuri..Putin sio Zelensky

Sijajua umeandika nini haswa, ila Putin rais wa supapawa anapumuliwa na drones hadi ikulu wakati yeye alimpa Zelensky masaa 24 aihame Ukraine.....
 
Uko kwenye denial mode,hakuna hoja/ukweli unaweza kuupokea!Hutaki kuuoona ukweli ili uendelee kuishi kwenye fantasy uliyojiwekea kichwani!
Huo ni ugonjwa,ukipata msaada mapema unaweza kupona!Tofauti na hapo utaendelea kuteseka na nafsi yako na kupelekea depression!
Get help!

Mpaka ukaandika liinsha kama lote, hapo nakuona mishipa ilivyochomoza kwa hasira, muda utalipuka kwa mabomu, Putin anawatesa sana sheikh.
 
Unarudia kile kile miaka miwili hasira zinawatesa....mpaka vita vinaisha mtachizi sana
Wewe una tatizo lako la kuukataa uhalisia/ukweli ili uishi kwenye kile ambacho kichwa chako kinataka iwe!Tatizo hilo linaitwa reality denial syndrome!Jitafakari!
 
Mpaka ukaandika liinsha kama lote, hapo nakuona mishipa ilivyochomoza kwa hasira, muda utalipuka kwa mabomu, Putin anawatesa sana sheikh.
Ushauri wa bure tu,get help au jiepushe na habari zisizokufurahisha!
 
Itawapa sababu ya urusi kushambuliwa maeneo nyeti kama bunge,ikulu au maofisi mbalimbali kitu ambacho urusi hataki hafike huko.
[emoji23] [emoji23] hv akili mmeacha wap ? mtu analipua kila sehem ashindwe lipua bunge ? Asubir mpk ashambuliwe
 
Mpaka leo wajinga hawajakubali kuwa Ukraine hana uwezo wa kuifanya chochote urusi na hawana uwezo wa kushinda isingekuwa msaada wa nchi zaidi ya 30 Ukraine angekuwa ameshashindwa na hizo nchi hazitaweza kuzuia ushindi wa warusi.
Mmebadili kauli ya demilitisation had kusema Ukraine haez shinda zenu ni majib tosha kuwa Urusi hali si nzur
 
Back
Top Bottom