Hiyo ndiyo njia ya kwenda kisarawe 2 piaWacha tuendelee kufuturisha
-------
Daraja la Kibaoni Muongozo limekatika kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kukata mawasiliano
Mamia ya wananchi waliokwama katika eneo hilo, wamelazimika kutumia ngazi huku wengine wakihatarisha maisha yao kwa kuruka kwenye daraja jipya ambalo bado ujenzi wake haujakamilika baada ya lile la awali, kukatika.
Hio ni njia ya Kigamboni-Mjimwema-Kibugumo-Geza-Muongozo-Dege-Cheka mpaka Kimbiji. Daraja limekatika kati ya Muongozo na Dege.Hiyo ndiyo njia ya kwenda kisarawe 2 pia
Ova
Hiyo ndiyo njia ya kwenda kisarawe 2 pia
Nmechanganya na mwasonga (muongozo)Hio ni njia ya Kigamboni-Mjimwema-Kibugumo-Geza-Muongozo-Dege-Cheka mpaka Kimbiji. Daeaja limekatika kati ya Muongozo na Dege.
Lile daraja aliyojenga mkoloni liko kama kwenye kona bado lipo naona,ila lilikuwa chiniHio ni njia ya Kigamboni-Mjimwema-Kibugumo-Geza-Muongozo-Dege-Cheka mpaka Kimbiji. Daeaja limekatika kati ya Muongozo na Dege.
Kwa wanaoenda Cheka still bado ni njia ya kipaumbele.Sio njia pekee hata hvy sio njia ya kipaumbele hasa kwa mtu anayetoka ferry. Njia ambayo wengi wanatumia ni Kibada mkuu.
Katika vyote,hili tu ndio uliloliona? Au wewe ndio wale wanaoteseka kwa chuki ya udini?Wacha tuendelee kufuturisha
Hilo ndio limekatikaLile daraja aliyojenga mkoloni liko kama kwenye kona bado lipo naona,ila lilikuwa chini
Ova
Huko kuzuri kunawafaa wastaafu. Napafahamu vizuri sana hadi huko buyuni..kwa morish,.kijaka , gerezani na kambi ya JKT nimevuga sana KigamboniKwa wanaoenda Cheka still bado ni njia ya kipaumbele.
Pia kwa route za daladala ni njia ya kipaumbele.
Kiongozi, hio ndio njia ya kwenda Muongozo,Dege,Mbutu,Cheka, Avic town hadi Kimbiji. Sasa hawa wote wameathirika. Kwa wanaojua hapo Muongozo kuna njia inaenda hadi inaungana na ile barabara ya Kibada-Mwasonga hii bado haina lami na mvua hizi kwa gari ndogo ni changamoto. Au warudi hadi Mwembe mdogo napo kuna njia inakwenda hadi kuungana na barabara ya Kibada-Mwasonga.Sio njia pekee hata hvy sio njia ya kipaumbele hasa kwa mtu anayetoka ferry. Njia ambayo wengi wanatumia ni Kibada mkuu.
Bongo bana na majina ya ajabu ajabu ya sehemu. Kwanini wasiyaite Chesterfield, Warwick, Colchester, Borough, Baker Street, Shrewsbury, Bedford, Nottingham, Guildford, Preston etc.Hio ni njia ya Kigamboni-Mjimwema-Kibugumo-Geza-Muongozo-Dege-Cheka mpaka Kimbiji. Daeaja limekatika kati ya Muongozo na Dege.
Huna kwenu?Bongo bana na majina ya ajabu ajabu ya sehemu. Kwanini wasiyaite Chesterfield, Warwick, Colchester, Borough, Baker Street, Shrewsbury, Bedford, Nottingham, Guildford, Preston etc.
Majina ambayo ukiyatamka yanaleta ladha kinywani.
Sasa Kibugumo, Geza, cheka ndo nini sasa?
Isitoshe kuna Mapinga, Udindivu, Kisuji, Mburahati, Boko, Bweni, Ubungo, Madale, Salasala, Mbauda, Chanika W.T.F?
Ni Oysterbay tu ndo imetuokoa.
adriz de mbusii
Kigqmboni kuna majina yq Kizaramo. Kuna sehemu inaitwa Mwanzo Mgumuu ingine inaitwa Vumilia Ukooni πππBongo bana na majina ya ajabu ajabu ya sehemu. Kwanini wasiyaite Chesterfield, Warwick, Colchester, Borough, Baker Street, Shrewsbury, Bedford, Nottingham, Guildford, Preston etc.
Majina ambayo ukiyatamka yanaleta ladha kinywani.
Sasa Kibugumo, Geza, cheka ndo nini sasa?
Isitoshe kuna Mapinga, Udindivu, Kisuji, Mburahati, Boko, Bweni, Ubungo, Madale, Salasala, Mbauda, Chanika W.T.F?
Ni Oysterbay tu ndo imetuokoa.
adriz de mbusii
Kila kitu unataka majina yawe ya kizungu..Bongo bana na majina ya ajabu ajabu ya sehemu. Kwanini wasiyaite Chesterfield, Warwick, Colchester, Borough, Baker Street, Shrewsbury, Bedford, Nottingham, Guildford, Preston etc.
Majina ambayo ukiyatamka yanaleta ladha kinywani.
Sasa Kibugumo, Geza, cheka ndo nini sasa?
Isitoshe kuna Mapinga, Udindivu, Kisuji, Mburahati, Boko, Bweni, Ubungo, Madale, Salasala, Mbauda, Chanika W.T.F?
Ni Oysterbay tu ndo imetuokoa.
adriz de mbusii