Daraja lakatika Kigamboni wananchi wanahaha

Kigqmboni kuna majina yq Kizaramo. Kuna sehemu inaitwa Mwanzo Mgumuu ingine inaitwa Vumilia Ukooni πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Vumilia ukooni nlifikaga
Njia ya mwasongo mbele kabisa kuna sehemu panaitwa shugu bweni sjui(kama nmelipatia)
Hko mbele unakutana na mkuranda sasa

Ova
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜ mtu mweusi muache aishi weusi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…