Daraja linalounganisha Mtaa wa Muungano na Goba lina hali mbaya na hakuna kinachofanyika

Daraja linalounganisha Mtaa wa Muungano na Goba lina hali mbaya na hakuna kinachofanyika

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
WhatsApp Image 2025-06-12 at 16.56.35_fa816f9f.jpg

WhatsApp Image 2025-06-12 at 16.56.35_2b4412a5.jpg
Hili ni Daraja lipo katika Kata ya Mkonze, Mtaa wa Muungano Jijini Dodoma linaunganisha Mtaa wa Muungano na Goba lakini kwa muda mrefu lipo hivyo linavyoonekana hapa kwenye picha.

Yaani vyombo vyote vya usafiri na hata waenda kwa miguu wanapita pembeni kama inavyoonyesha katika picha, juzi kati lilikuja Greda lakini halikufanya chochote likaondolewa.

Kibaya zaidi, mvua ikinyesha ukiwa upande mmoja kati ya maeneo hayo lazima usubiri mpaka maji yapungue ndio uvuke kwenda upande mwingine.

 
Back
Top Bottom