Darasa adaiwa kuiba beat ya wimbo wake mpya (hasara roho)

Lizaboni DAB Na mziki wapi Na wapi...

Rudi jukwaa lako la siasa uendelee muandama Lowassa.
 
Kama hauamini nenda you tube usachi utapata kila kitu. No biti iliyotumiwa na msanii underground ajulikanaye kwa Nina LA Sola
Kama hauamini nenda you tube usachi utapata kila kitu. No biti iliyotumiwa na msanii underground ajulikanaye kwa Nina LA Sola

aliyesachi YouTube akalipata ilo jina la Nina LA Sola snipe link sijaona ilo jina
 
Mtoa mada acha uongo!usemayo sio kweli..acha chuki.

Nimeweka ushahidi tayari sogea hapo juu uzisikilize zote mbili, ya Darasa na ya huyo dogo. Bila shaka utaaibika na hautaongea tena
 
Ndio tatizo tunalo wabongo, uchawi sio kwenye muziki tu, unaweza ona watu wanaleta uchawi hadi kwenye siasa, jambo jema likifanywa na serikali kuna wachawi watatokelezea tu.
Nimeweka ushahidi tayari sogea hapo juu uzisikilize zote mbili, ya Darasa na ya huyo dogo
 
Nimeweka ushahidi tayari sogea hapo juu uzisikilize zote mbili, ya Darasa na ya huyo dogo. Bila shaka utaaibika na hautaongea tena
Nmeuckiliza vema..anatafuta kiki dogo.
 
Akaunti yako inaonesha wewe ni mwanaume lakini mbona una mambo ya kike sana? Unawezaje kumuandama mwanaume mwenzako jamiiforums kila uzi unamuongelea yeye tu kwani amekutendea nini?

Nenda kapumuliwe kisogoni kama vipi

Mnapoteza muda wenu bure tu, hebu someni jina lake kinyume ndio mtajua aina ya mtu anayewapotezea muda.
 
Aya jaMES DELICIOS
ACHA tabia za kimombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…