malamsha11
Member
- Apr 1, 2017
- 32
- 26
Kafungue case ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hauamini nenda you tube usachi utapata kila kitu. No biti iliyotumiwa na msanii underground ajulikanaye kwa Nina LA Sola
Kama hauamini nenda you tube usachi utapata kila kitu. No biti iliyotumiwa na msanii underground ajulikanaye kwa Nina LA Sola
nenda you tube kwenye search, andika Darasa adaiwa kuiba beataliyesachi YouTube akalipata ilo jina la Nina LA Sola snipe link sijaona ilo jina
Acha umbea wewe kama imekuuma nenda kashtakinenda you tube kwenye search, andika Darasa adaiwa kuiba beat
Na we kaibe tuone
Hapo angeulizwa producer imekuaje biti moja imeimbiwa na watu wawili tofauti
Umbea huo.
Biti sio mali ya msanii, biti ni mali ya prodyuza.
Una lingine?
Alafu wewe sijui ni ke au me
Leo leo umeanzisha uzi kuponda wimbo wa Darasa, sasa hivi umeanzisha uzi kwamba Darasa ameiba biti kwani wewe huna kazi? Au Darasa alichukua dada yako?
Uzi huu hapa umeanzisha wewe juu ya Darasa
Wimbo mpya Wa darasa umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha
Nimeweka ushahidi tayari sogea hapo juu uzisikilize zote mbili, ya Darasa na ya huyo dogoNdio tatizo tunalo wabongo, uchawi sio kwenye muziki tu, unaweza ona watu wanaleta uchawi hadi kwenye siasa, jambo jema likifanywa na serikali kuna wachawi watatokelezea tu.
Nmeuckiliza vema..anatafuta kiki dogo.Nimeweka ushahidi tayari sogea hapo juu uzisikilize zote mbili, ya Darasa na ya huyo dogo. Bila shaka utaaibika na hautaongea tena
Akaunti yako inaonesha wewe ni mwanaume lakini mbona una mambo ya kike sana? Unawezaje kumuandama mwanaume mwenzako jamiiforums kila uzi unamuongelea yeye tu kwani amekutendea nini?
Nenda kapumuliwe kisogoni kama vipi
Kama hauamini zisikilize nyimbo zote mbili halo chini. Ni ukweli usiopingika kuwa Darasa ameiba biti iliyotumiwa na msanii underground sana katika muziki Wa bongo fleva. Kama wasanii wakubwa wanakopi kwa wasanii wadogo kama hawa ambao hata hawajavuma kimuziki, tutafika kweli?
Beat ya darasa
https://www.jamiiforums.com/attachments/darassa-hasara-roho-mp3.505376/
Beat anayodaiwa kuiba
https://www.jamiiforums.com/attachments/dogo-iringa_bit-roho-darasa-mp3.505377/
Povu lote la nini kwani wewe mke wake darasa hadi umjibieUmbea huo.