Darasa amerudi

Ukimya wa Darasa unaweza kuwa ni fursa kwake kupewa sikio na wananchi, lakini unaweza pia kuwa ndio kabuli lake kwenye muziki.... Inategemea na ukubwa wa wimbo atakao kuja nao.
Hakuna mteja aliyerudi kwenye game akaendelea kuhit kama zamani,achana na wakati,wapi Ray C,wapi Chid,wapi chillah,wapi TID wapi Lord eyes? anyway ngoja tumpe faida ya mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…