King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ngada vipi kaacha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani
Darassa tuko pamoja.. wale wa nyegezi wameishi ebu shika media sasa.
Naona baada ya kibakuli kuwaangusha mnajifariji kwa mla ngada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]Bora arudi jamaa!
Katika miaka hii 4-5 hakuna wimbo uliohit kama muziki
Mjipange sana jamaa ndio hivyo karudiNaona baada ya kibakuli kuwaangusha mnajifariji kwa mla ngada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Tutawakimbiza hadi mnye mavi machanga
Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza.
Watu kibao wanashangilia ujio wake.
Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae nyimbo akikaa sawa.
View attachment 962299
Hakuna mteja aliyerudi kwenye game akaendelea kuhit kama zamani,achana na wakati,wapi Ray C,wapi Chid,wapi chillah,wapi TID wapi Lord eyes? anyway ngoja tumpe faida ya mashakaUkimya wa Darasa unaweza kuwa ni fursa kwake kupewa sikio na wananchi, lakini unaweza pia kuwa ndio kabuli lake kwenye muziki.... Inategemea na ukubwa wa wimbo atakao kuja nao.
Tulia bi'mkubwa darasa akupe maarifa... punguza nyegezi zako.Naona baada ya kibakuli kuwaangusha mnajifariji kwa mla ngada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Tutawakimbiza hadi mnye mavi machanga