Pimbi alikuwa sio mmaliziaji mzuri ila kwa kuanzisha tukio alikuwa vizuri sana kuna siku kachukua demu mambo ya usafiri hana wakawa wanauwa winga mara katokezea kitaa demu kasita anamwambia Pimbi pale wanao sukana kuna mama yangu mdogo so siwezi kupita hapo Pimbi kamwambia demu hilo dogo niachie mimi kaenda pale kawasabahi vizuri kisha akawaambia kina mama mmekaa kusukana hapa wakati sukari inagawiwa penye duka la tarafa enzi hizo sukari adimu basi wacha watimue mbio huku wanataja sukari Pimbi kajua kamaliza game anarudi kwa demu wanapishana demu mbio nae anataja sukari game ikaishia hapo .