Sijawahi kubisha tangu nijiunge JF,ila huwa natoa FACTS tu,sasa kama wewe ziko vizuri kichwani zipinge FACTS zangu, na kwako hilo huliwezi.Huu sio wa Fella wala wa Babu Tale.
Maana mliona kama nyie ndio wenye Mziki wenu sasa Kibao kimegeuka mnataka kujipendekeza kwake
Mimi nakupinga sababu watu wanaweza wakawa na mzuka na nyimbo na video na baadae wakaipotezea hvyo si lazima kwa watu kuendelea kuangalia kwa kipindi kijacho mfano hyo Aje ilipata views milioni kabla ya siku 7 ila mpaka sasa inaingia miez 7 inaenda 6 milioni views natumai umenielewaSijawahi kubisha tangu nijiunge JF,ila huwa natoa FACTS tu,sasa kama wewe ziko vizuri kichwani zipinge FACTS zangu, na kwako hilo huliwezi.
UMEJITAHIDI,ngoja tuone kama itasizi au itazidi kuwa juu.Mimi nakupinga sababu watu wanaweza wakawa na mzuka na nyimbo na video na baadae wakaipotezea hvyo si lazima kwa watu kuendelea kuangalia kwa kipindi kijacho mfano hyo Aje ilipata views milioni kabla ya siku 7 ila mpaka sasa inaingia miez 7 inaenda 6 milioni views natumai umenielewa
Povu la nini dogo, sasa huoni aibu Aje ina views 5 M mwakamzima, wakati muziki wa Darasa mwezi tu inagonga 3 M ? Ni aibu kubwa kwa PimbiKibaAlafu we kwenu wanakuona una akili mpaka kwenye vikao vya familia wanakualika uchangie mada.
Aje ina viewers 5+ na Muziki Viewers 3+ sasa sijui we ulisoma hesabu za wapi ukafundishwa Kuwa 5 na 3 namba kubwa ni 3.
Najua wapenzi wa Madale Roho zinawauma maana mnaona huu Muziki kama wa kwenu nyie kumbe ni wa kwetu wote.
Siku moja prof alienda kwa lodilofa ile lodi anamuona tu getini akawa anawaza huyu tapeli sijui anataka kunitapeli nini ?
Basi prof anaanza kusalimia lodi kaingiza mkono mfukoni katoa pesa huku anamwambia acha kuanza kutunga maneno mimi mtoto wa mjini sura yako inaonyesha una nenge nenda kale
basi kwa unyonge prof kaichukua pesa huku moyoni anasema huyu kipipa kanijua nia yangu kisha akajisemea "lakini kweli ningeweza kumtapeli huyu "
Pimbi alikuwa sio mmaliziaji mzuri ila kwa kuanzisha tukio alikuwa vizuri sana kuna siku kachukua demu mambo ya usafiri hana wakawa wanauwa winga mara katokezea kitaa demu kasita anamwambia Pimbi pale wanao sukana kuna mama yangu mdogo so siwezi kupita hapo Pimbi kamwambia demu hilo dogo niachie mimi kaenda pale kawasabahi vizuri kisha akawaambia kina mama mmekaa kusukana hapa wakati sukari inagawiwa penye duka la tarafa enzi hizo sukari adimu basi wacha watimue mbio huku wanataja sukari Pimbi kajua kamaliza game anarudi kwa demu wanapishana demu mbio nae anataja sukari game ikaishia hapo .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tbt hizoo
dk pimbi na harakati zake bubu
Mkuu kama ananunua views si anunue kwa Kokoro ya rich mavoko ili nyimbo yake izidi ya darassa..???Diamond naona kashamfundisha kununua views
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daahPimbi alikuwa sio mmaliziaji mzuri ila kwa kuanzisha tukio alikuwa vizuri sana kuna siku kachukua demu mambo ya usafiri hana wakawa wanauwa winga mara katokezea kitaa demu kasita anamwambia Pimbi pale wanao sukana kuna mama yangu mdogo so siwezi kupita hapo Pimbi kamwambia demu hilo dogo niachie mimi kaenda pale kawasabahi vizuri kisha akawaambia kina mama mmekaa kusukana hapa wakati sukari inagawiwa penye duka la tarafa enzi hizo sukari adimu basi wacha watimue mbio huku wanataja sukari Pimbi kajua kamaliza game anarudi kwa demu wanapishana demu mbio nae anataja sukari game ikaishia hapo .
Kacheze unapochezagaPovu la nini dogo, sasa huoni aibu Aje ina views 5 M mwakamzima, wakati muziki wa Darasa mwezi tu inagonga 3 M ? Ni aibu kubwa kwa PimbiKiba
Katika nyimbo ambazo zinajipigania na kujipromot zenyewe MUZIC no namba mojaDiamond naona kashamfundisha kununua views
Blah blah blah.. Nasikia eti wewe ni Demu mkali hadi humu JF kuna mtu umeshamdatisha What do you except !Acha maneno weka muziki
Ngoja na mimi niongeze Moja...
Hongera darasa.
Pimbi kakutana na demu mkali yule demu akawa anamuangalia sana pimbi basi doctor love akaona zali hili ikabidi ajiweke vizuri yule demu bado anamshangaa pimbi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tbt hizoo
dk pimbi na harakati zake bubu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pimbi kakutana na demu mkali yule demu akawa anamuangalia sana pimbi basi doctor love akaona zali hili ikabidi ajiweke vizuri yule demu bado anamshangaa pimbi
Dokta akaingia mzima mzima na kuanza kutabasamu demu akumuuliza kama anamfananisha au ndie yeye ? dokta kaona ndio penyewe hapo akajibu hata hujanifananisha ni mimi kabisa
Demu basi mungu ashukuriwe uliwezaje kupona ? dokta akawa kachanganyikiwa kupona vipi tena ? demu siku ile tulipomleta ndugu yetu hospital ya mirembe ulikuwa umefungwa minyororo . dokta akawaka yaani umeisha jiona mzuri na kuanza kutukana watu mshenzi mkubwa wewe