Darasa asema atamsadia dereva aliyekamatwa kwa kucheza nyimbo yake na kutishia usalama

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061

Msanii huyo amesema ni kweli dereva huyo alifanya makosa ila anataka amtoe
amedai kuna watu wake wanafuatia atoke na yupo kituo cha polisi Manyoni
 
Darasa umetoa bonge la ngoma ni Nouma Nouma Nouma Nouma sana Bobuuu darasa...mzuka kawaida Tu na dereva atatoka
 
Safi darasa.ndivyo inavyotakiwa.MTU mpaka kaacha usukani akacheza ngoma yako sio kazi ndogoo.amekukubali mpaka mwisho.
 
Fanya hivyo darasa maana umewachizisha watu mkuu.

Ila Naomba sasa ujiite shule maana darasa ni sehemu.ndogo ya shule
 
Darasa tunaupenda "muziki"wako nawe tunakupenda pia mambo mengine iachie sheria ichukue mkondo wake...
kwa mtindo huo utawatoa wangapi hadi unastaafu "muziki"?
 
Aiseee!!

Kama wakitoka hao, sijui!!
 

Msanii huyo amesema ni kweli dereva huyo alifanya makosa ila anataka amtoe
amedai kuna watu wake wanafuatia atoke na yupo kituo cha polisi Manyoni
Naona kaona mchango wangu kwenye bandiko la huyo dereva! Nilisema ningekuwa Mimi ndo Darasa, ningemlipia fine huyo dereva!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…