Darasa asema atamsadia dereva aliyekamatwa kwa kucheza nyimbo yake na kutishia usalama

Darasa asema atamsadia dereva aliyekamatwa kwa kucheza nyimbo yake na kutishia usalama

"Vitu vngne havitakagi ujuaji,utajikuta unatandikia watu janvi,uwiiiiiii maisha namziki acha longolongo weka mziki"
 
Naikubali hyo track ila lile tukio ukilifuatilia kwa makini utabaini si kama vile lilivyoelezwa. Hivi dereva alivyotoka pale kwenye kiti chake mafuta nayo c yalikuwa hayakanyagwi!?
 
Anataka kuipindisha sheria? Kama n ivyo inabidi angefanya chin chini..
 
Naikubali hyo track ila lile tukio ukilifuatilia kwa makini utabaini si kama vile lilivyoelezwa. Hivi dereva alivyotoka pale kwenye kiti chake mafuta nayo c yalikuwa hayakanyagwi!?
So what?…mambo ya kijinga(kavunja sheria)za usalama barabarani yupo mahabusu na asipokuwa na mawakili wanaoweza kufanya utetezi kitaalamu(kisheria) anaenda ndani.
Ni ujinga wa hali ya juu kwa kilichofanyika
 
darasa karibu katika ulimwengu wa kiki....
 
Huyo jamaa bangi zinamsumbua,yaani anatangaza hadharani kabisa kufanya k"Obstruction of Justice"nae ni wa kutupa ndani tu
 
Amna kiki ni ualisia Tu MTU kapaenda
mlivunjwa miguu mnajifanya oooh serikali haioni!!
haikuwepo haja ya kuachia usukuani
alifanya vile ili apate kiki na ndo mana wakarekodi
ifike mahala mitandao isitupande kichwani!!!
maana siku hizi ni show off za kila aina!!!
muwage mnathamini maisha ya watu!!!
 
Ata ujafatilia povu limekutokaaa! IPO hivi sio kiki na Saidi Makachakacha ndio dereva alikua kashashusha abiria wanaenda kupaki, Na utafiti uliofanyika mpaka sasa ni kwamba hawafahamiani kabisaa na darasa...ila kesho atafikishwa mahakamani kwa mashtaka yanayomkabili, Mpaka sasa bado yupo lokap.
 
Asianze kutuudhi!
so we mradi ni wimbo wako umechezwa ,abiria waliokuwa kwenye lile gari nao ungewasaidia kutoka ahera au MOI?
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom