kantalambazi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 2,011
- 650
Akifungwa ataenda naye jela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone mwisho wakeAvimbe mara ngapi?
Mwache atafute kiki zakijinga.Akifungwa ataenda naye jela?
Msanii huyo amesema ni kweli dereva huyo alifanya makosa ila anataka amtoe
amedai kuna watu wake wanafuatia atoke na yupo kituo cha polisi Manyoni
So what?…mambo ya kijinga(kavunja sheria)za usalama barabarani yupo mahabusu na asipokuwa na mawakili wanaoweza kufanya utetezi kitaalamu(kisheria) anaenda ndani.Naikubali hyo track ila lile tukio ukilifuatilia kwa makini utabaini si kama vile lilivyoelezwa. Hivi dereva alivyotoka pale kwenye kiti chake mafuta nayo c yalikuwa hayakanyagwi!?
Saswa sawa mkuu nitafanyia kazi ushauri wako!Fanya hivyo darasa maana umewachizisha watu mkuu.
Ila Naomba sasa ujiite shule maana darasa ni sehemu.ndogo ya shule
Amna kiki ni ualisia Tu MTU kapaendakiki za kijinga zinawaponza waTanzania
mlivunjwa miguu mnajifanya oooh serikali haioni!!Amna kiki ni ualisia Tu MTU kapaenda
Ata ujafatilia povu limekutokaaa! IPO hivi sio kiki na Saidi Makachakacha ndio dereva alikua kashashusha abiria wanaenda kupaki, Na utafiti uliofanyika mpaka sasa ni kwamba hawafahamiani kabisaa na darasa...ila kesho atafikishwa mahakamani kwa mashtaka yanayomkabili, Mpaka sasa bado yupo lokap.mlivunjwa miguu mnajifanya oooh serikali haioni!!
haikuwepo haja ya kuachia usukuani
alifanya vile ili apate kiki na ndo mana wakarekodi
ifike mahala mitandao isitupande kichwani!!!
maana siku hizi ni show off za kila aina!!!
muwage mnathamini maisha ya watu!!!