Darasa asema atamsadia dereva aliyekamatwa kwa kucheza nyimbo yake na kutishia usalama

Fanya hivyo darasa huo ndo uungwana, usiache kupiga nao picha hawa jamaa kama kumbukumbu kwa miaka ijayo.
-endelea kutoa nyimbo nzuri kama hizo.
-sheria za barabara pia zifuatwe.
 
Asianze kutuudhi!
so we mradi ni wimbo wako umechezwa ,abiria waliokuwa kwenye lile gari nao ungewasaidia kutoka ahera au MOI?
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Umeiskiliza audio vizuri mkuu alichoongea darasa??
-pole sana
 
ndugu muandishi soma vizuri
 
Wangekufa angeenda kuwafufua na wale madogo watafungwa kwa matumizi mabaya ya highway kumbuka ile njia yule dogo sio ya baba ake angezabwa na lori mngeanza oooh sijui hiki mara kile wat if pale kaachia usukan gar ikakanyaga jiwe ikahamia upande wa 2 na kuna lori linakuja upande ule nahisi sasa hv madogo wangekua na majina tofauti..me nasema madogo wafungwe na Leseni wapokonywe wakae kijiwen au wakalime singida
 
ndugu muandishi soma vizuri
Nimesoma vizuri princess Ariana: na nimeelewa pia tukio nzima ninalifaatilia kwa karibu na ndio maana nilikua nafafanua tuu sio kiki! Ni ushapibiki Tu Wa music...
 
wewe uliyesikiliza si unaona unachoandika kuwa apige picha nao?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Picha ni kwa ajili ya kumbukumbu tu mkuu, yani kwa baadae zitatumika kipindi amefariki, amepotea kwenye game au ameachana na mziki.
 
hahahaha sijui atamtoaje wakati kosa liko wazi na sheria iko wazi. Labda amsaidie kumuwekea mawakili wa kumpunguzia adhabu...
Pengine Darasa hakufikiri kabla ya kufyatua maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…