Darasa, Diamond na Ali Kiba

Darasa, Diamond na Ali Kiba

mpuyango

Member
Joined
Aug 17, 2016
Posts
60
Reaction score
68
Kajiandae team: "diamond_ hufanyi muziki ila ni ujanja ujanja tuu"

DARASA: Acha maneno weka muziki imba unachopenda ukitaka kucheza cheza muziki

ALIKIBA (Akitaman sana kuwa kama diamond)

DARASA: Funga mkanda, kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba

OMMY DIMPOZ: Diamond ananunua viewers yule

DARASA: Unataka kukimbia na hauna break, what do u expect ??"

TEAM KIBA: Ali kiba bwana mkali wa kuimba live hadi bas

DARASA: Vitu vingine havitakagi ujuaji, unaweza jikuta unatandikia mtu jamvi_"

DIAMOND: Sijui ni kipi nmewakosea walimwengu, et jamn nifanye nini nionekane mwema??"

DARASA: Pasua miamba, pasua anga si unasemaga chambua kama kalanga"

Uwiiiiiiii!! darasa amemteteaje mi ningeshindwa mbona

habay eno mtweve!
 
Umefanya la maana,maana kwa usawa huu ni bora ulivyojipigia viroba tu.
 
Back
Top Bottom