sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Leo natoa somo kwa jamii ya watu wanapatwa na changamoto ya kutumia websites zilizofungwa, hususan kundi lile la watu wanaosafiri nje ya nchi na kukumbana na tatizo la kushindwa kufunguawebsites muhimu zilizofungwa na nchi hio......
- Download Opera browser
- Ingia kwenye menu
- Ingia sehemu ya vpn
- Malizia kwa kuwasha hiki kitufe
***Na hapo utakuwa umemaliza zoezi lako, unapoperuzi tovuti utakuwa unaona alama hii ya vpn
Faida ya opera
- Download Opera browser
- Ingia kwenye menu
- Ingia sehemu ya vpn
- Malizia kwa kuwasha hiki kitufe
***Na hapo utakuwa umemaliza zoezi lako, unapoperuzi tovuti utakuwa unaona alama hii ya vpn
Faida ya opera
- huna haja ya kudownload vpn inayojitegemea, hii ni browser kama ilivyo google chrome ila ina vpn ya ndani.
- huna haja ya kufungua na kuwasha vpn kila mara, opera ukiseti mara moja tu umemaliza kazi.
- ni bure na hakuna kikomo, vpn nyingi ukifikisha MB kadhaa inabidi ulipie au usubiri masaa kadhaa yapite.
- hutahitaji utitiri wa ma vpn, opera pekee itatosha