Darasa Huru: Jifunze kwa nini jezi nyeupe na nyekundu ni bora kuliko za njano, kijani na nyeusi

Kati ya Tanzania na Brazil ni nchi ipi inaongoza kwa kiwango cha joto? Je timu ya Taifa ya Brazil na vilabu vilivyopo Brazil hakuna zinazotumia rangi ya njano, kijani, Blue na nyeusi? Je timu ya taifa ya Brazil haifanyi vizuri kwenye mpira wa miguu kutokana na jezi zao?

Ingekuwa timu zinachagua jezi kutokana na viwango vya joto basi tungeshuhudia timu zilizopo kwenye ukanda wa baridi kutotumia jezi nyeupe au nyekundu bali wangetumia jezi za blue, kijani na nyeusi tupu.

Hii hapa ni takwimu ya joto duniani, waangie Russia pamoja na kwao kuwa na baridi la -4.03 ⁰C lakini jezi zao za nyumbani ni nyekundu.

 
Rangi nyeupe inaakisi mwanga hivyo sio kwamba haipati au haipitishi joto ila inafanya hivyo kwa asilimia ndogo kuliko rangi nyeusi. So it make sense ukitengeneza jezi nyeupe since it can help maintain lower body temperature

Pia kuna jambo umesahau kulisema. Inategemea na fabric material. Kwanza jezi zinatakiwa ziwe nyepesi inajulikana kuwa hii nguo nzito ina joto zaidi kuliko nyepesi

Michael Jordan ilikuw 1966 alishindwa kukimbia kwa kuvaa jezi ya cotton. Alipotoka jasho ikawa inashika mwili na inamuwekea uzito, ugumu wakati anafanya movement

Una point ni namna ulivyowasilisha. Kwa maneno yenye jua kali, jezi nyeupe are wise to use
 
Point ni fabric material hapo na wala sio swala la rangi iwe kikwazo kwa timu
 
Post yako imenichekesha sana na bila kujua ulichoandika kimedhihirisha nilichosema kuwa upeo wa mashabiki wa Yanga ni "wa kawaida saaana".

Ni sayansi gani hiyo uliyotumia iliyokwambia kwa kuwa rangi fulani ina uwezo mkubwa wa kuzuia joto basi inapitisha baridi kiurahisi 😂🤣😂 Aisee!!
 
Ila wewe jamaa ni Kihande haswa humu JF. Kwahiyo kama mwenyewe umepangilia rangi kwa mpangilio jinsi inavyoweza ku absorb heat na radiation hapo hauoni kwenye baridi mtu anatakiwa avae nguo nyeusi kwavile zina uwezo wa ku absorb heat na radiation kuliko rangi zote. Halafu mbona hakuna aliposema kuwa rangi fulani inapitisha baridi?
 
Hawatakiwi kukasirika bali kushangaa inakuwaje timu yao ina miaka zaidi ya 60 ila hawajui wanavaa jezi zinazochosha wachezaji. Imagine na jua lote hili la Tanzania unauziwa nguo nyeusi au ya kijani kwa 50,000 ili ikuunguze vizuri juani.
Ni ajabu sana wachezaji wanachoshwa lakini wanachukua makombe mbele ya timu yako isiyochoshwa🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…