Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya Tanzania na Brazil ni nchi ipi inaongoza kwa kiwango cha joto? Je timu ya Taifa ya Brazil na vilabu vilivyopo Brazil hakuna zinazotumia rangi ya njano, kijani, Blue na nyeusi? Je timu ya taifa ya Brazil haifanyi vizuri kwenye mpira wa miguu kutokana na jezi zao?Sijasema rangi za jezi ndiyo mwarobaini wa mafanikio ya timu bali nimesema zina mchango wake ambao dunia nzima inatambua.
Kumbuka kuna sababu nyingine za mchango wa rangi za jezi katika mafanikio ya timu ila uzi huu umeamua kufocus na eneo moja. Siku nyingine nitapanua huu mjadala uangalie maeneo mengine.
View attachment 3222063
View attachment 3222065
Hujajibu swaliUsipingane na sayansi dogo
Point ni fabric material hapo na wala sio swala la rangi iwe kikwazo kwa timuRangi nyeupe inaakisi mwanga hivyo sio kwamba haipati au haipitishi joto ila inafanya hivyo kwa asilimia ndogo kuliko rangi nyeusi. So it make sense ukitengeneza jezi nyeupe since it can help maintain lower body temperature
Pia kuna jambo umesahau kulisema. Inategemea na fabric material. Kwanza jezi zinatakiwa ziwe nyepesi inajulikana kuwa hii nguo nzito ina joto zaidi kuliko nyepesi
Michael Jordan ilikuw 1966 alishindwa kukimbia kwa kuvaa jezi ya cotton. Alipotoka jasho ikawa inashika mwili na inamuwekea uzito, ugumu wakati anafanya movement
Una point ni namna ulivyowasilisha. Kwa maneno yenye jua kali, jezi nyeupe are wise to use
Post yako imenichekesha sana na bila kujua ulichoandika kimedhihirisha nilichosema kuwa upeo wa mashabiki wa Yanga ni "wa kawaida saaana".Kati ya Tanzania na Brazil ni nchi ipi inaongoza kwa kiwango cha joto? Je timu ya Taifa ya Brazil na vilabu vilivyopo Brazil hakuna zinazotumia rangi ya njano, kijani, Blue na nyeusi? Je timu ya taifa ya Brazil haifanyi vizuri kwenye mpira wa miguu kutokana na jezi zao?
Ingekuwa timu zinachagua jezi kutokana na viwango vya joto basi tungeshuhudia timu zilizopo kwenye ukanda wa baridi kutotumia jezi nyeupe au nyekundu bali wangetumia jezi za blue, kijani na nyeusi tupu.
Hii hapa ni takwimu ya joto duniani, waangie Russia pamoja na kwao kuwa na baridi la -4.03 ⁰C lakini jezi zao za nyumbani ni nyekundu.
List of countries by average yearly temperature - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Ila wewe jamaa ni Kihande haswa humu JF. Kwahiyo kama mwenyewe umepangilia rangi kwa mpangilio jinsi inavyoweza ku absorb heat na radiation hapo hauoni kwenye baridi mtu anatakiwa avae nguo nyeusi kwavile zina uwezo wa ku absorb heat na radiation kuliko rangi zote. Halafu mbona hakuna aliposema kuwa rangi fulani inapitisha baridi?Post yako imenichekesha sana na bila kujua ulichoandika kimedhihirisha nilichosema kuwa upeo wa mashabiki wa Yanga ni "wa kawaida saaana".
Ni sayansi gani hiyo uliyotumia iliyokwambia kwa kuwa rangi fulani ina uwezo mkubwa wa kuzuia joto basi inapitisha baridi kiurahisi 😂🤣😂 Aisee!!
Ni ajabu sana wachezaji wanachoshwa lakini wanachukua makombe mbele ya timu yako isiyochoshwa🤣🤣🤣Hawatakiwi kukasirika bali kushangaa inakuwaje timu yao ina miaka zaidi ya 60 ila hawajui wanavaa jezi zinazochosha wachezaji. Imagine na jua lote hili la Tanzania unauziwa nguo nyeusi au ya kijani kwa 50,000 ili ikuunguze vizuri juani.