screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Huyu jamaa kala maharage ya wapi huyu, mbona sikuhizi anatoa ngoma kali tupu? yaani ukifatia trend yake kuanzia ile ngoma aliyomshirikisha Nay wa Mitego 'Tunaishi', Heya Haye ft Blue, Kama Utanipenda ft Mavoko hadi hii ya sasa Too Much zote ni ngoma kali zinazofaa kuwa hit na hazichoshi kusikiliza, ni nzuri kuanzia audio hadi video. Nini siri ya mafanikio?