Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwambie mwenzio ya staminaDarasa anatoaga ngoma kali sema hakupataga air time tu.
Kuanzia nishike mkono mwambie mwenzio etc
umeusikia wa kala jeremaya mpya?Too much ndo ngoma kali kwa sasa nchini
Mkuu...Huyu jamaa kala maharage ya wapi huyu, mbona sikuhizi anatoa ngoma kali tupu? yaani ukifatia trend yake kuanzia ile ngoma aliyomshirikisha Nay wa Mitego 'Tunaishi', Heya Haye ft Blue, Kama Utanipenda ft Mavoko hadi hii ya sasa Too Much zote ni ngoma kali zinazofaa kuwa hit na hazichoshi kusikiliza, ni nzuri kuanzia audio hadi video. Nini siri ya mafanikio?
Huyu jamaa nilianza kuwa shabiki wake toka ngoma yake ya kwanza..Binafsi hajawahi kuniangushaYaani maji mara moja kama maharage ya mbeya. Ukiona hivyo ujue anajua. Angalia sikati tamaa..nishike mkono..weka ngoma..kiitikio cha stamina...jamaa anabadilika ofkoz
Yeah..jamaa anachange na umati....ila jamaa hadi anatoka na skati tamaa mzee alisugua na kina complex kinomaHuyu jamaa nilianza kuwa shabiki wake toka ngoma yake ya kwanza..Binafsi hajawahi kuniangusha
Jamaa kumbe kitambo sana aisee..Yeah..jamaa anachange na umati....ila jamaa hadi anatoka na skati tamaa mzee alisugua na kina complex kinoma
Kitamboo..Jamaa kumbe kitambo sana aisee..
Yeah jamaa anajitahidi aisee..Hata video anazitendea haki
Muhimu...Wahi kabla hajapigiwa mwingine tehKitamboo..
Ngoja niwahi angle bro jana nilitoa namba nipigiwee wikiendiii [emoji38] [emoji38]