Kiki. Kweli. Ngoma kali, ni kweli, ila sio kiiiiivooo!Kiki
Kiki. Kweli. Ngoma kali, ni kweli, ila sio kiiiiivooo!
hanajua=anajua!![emoji2]Kumbe maji mara mojaa kama maharage mbeyaaaa
Darassa hanajua mziki asee sio utan
Wengne watakutag wengne haeki ye ni haterzz
Mioyo ya binadam kaz wengne mtanpndaga nikisepaa
#Too much
Hata. Nishike mkono huijui?mimi darasa nimeanza kumfatilia juzi tu baada ya kutoa kama utanipenda..
nafikiri ndo mziki uliompa kiki kwa sisi tusiofatilia hiphop
alafu kapata beat maker mzuri
mziki wowote bwana beat
hata kama ukiwa mbaya ila beat likiwa zuri na ukaenda nalo
mambo yote yanakua mstarini...[emoji122]