mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Joh hajatrend kiivyo sema anatembelea chata ya Weusi.Joh Makini?
joh kwa darasaJoh Makini?
je kwa upande wa bongo flava nan anashikilia kijiti nowNi kawaida ya wasanii kupokezana vijiti yani kutesa kwa zamu.
Kama ilivyokuwa game ya video ilikuwa ya Adam Juma na sasa kamuachia Hanscana... Marco Chali kamwachia Nah real kwenye audio production... Jide kamwachia Vanessa Mdee kwenye rnb....Majuto alivyomwachia Joti kwenye comedy... Chidi Beenz alivyomwachia Nay kwenye game ya rap.... Ndio hivyo na sasa Nay wa Mitego kamwachia kijiti msela kutoka Kiwalani wakuitwa Darasa.
Kwa sasa game ya rap ni ya Darasa... Darasa ndio game ya rap ndani ya Bongo.
Obvious ni Chibu Dangoteje kwa upande wa bongo flava nan anashikilia kijiti now
Bilnas hana lolote anachana kama mtoto wa kindergatenDarasa na Bilnass watafanya vizuri sana...wakomae
Haya.darasa mkali wa hiphop kwa sasa
kama ni tuzo
apewe...
ipigwe nusu nusu vs kama utanipenda
au dont bother kwa too much...
darasa katisha kinoma noma [emoji122][emoji122]