Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hili nimeona niliweje hapa ili wadau mbalimbali waje watoe maoni yao. dereva anapokamatwa na traffic ana haki gani kama ambavyo traffic pia ana haki gani.
1. je ni halali traffic kuchukua leseni ya dereva?
2.kuchukua kadi ya gari?
3.kupanda gari ya dereva mwenye kosa?
4.kumshtak au kumpa adhabu dereva aliyepitisha gari kwenye service road?
5.nini dereva afanye anapokamatwa na kosa
6.nini haki za dereva
7.traffic anaweza kukusimamisha mida ya saa mbili usiku? wakati hauna uhakika kama ni traffic
8.je polisi ambaye hajavaa sare za traffic anaweza nikamata?
kwa kuwa hapa ni sehemu ya wasomi, wenye weledi na watafiti mbalimbali ningependa tuwekane sawa katika hili ili kuondoa kero na kukataa kutoa rushwa hasa kwa kuwa Traffic wengi wanafahamu kuwa wananchi wengi ni ignorant na hivyo hutumia hili kwa faida yao.