Darasa kuhsu SHERIA ZA MAHUSIANO YA TRAFFIC NA DEREVA barabarani

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Hili nimeona niliweje hapa ili wadau mbalimbali waje watoe maoni yao. dereva anapokamatwa na traffic ana haki gani kama ambavyo traffic pia ana haki gani.
1. je ni halali traffic kuchukua leseni ya dereva?
2.kuchukua kadi ya gari?
3.kupanda gari ya dereva mwenye kosa?
4.kumshtak au kumpa adhabu dereva aliyepitisha gari kwenye service road?
5.nini dereva afanye anapokamatwa na kosa
6.nini haki za dereva
7.traffic anaweza kukusimamisha mida ya saa mbili usiku? wakati hauna uhakika kama ni traffic
8.je polisi ambaye hajavaa sare za traffic anaweza nikamata?

kwa kuwa hapa ni sehemu ya wasomi, wenye weledi na watafiti mbalimbali ningependa tuwekane sawa katika hili ili kuondoa kero na kukataa kutoa rushwa hasa kwa kuwa Traffic wengi wanafahamu kuwa wananchi wengi ni ignorant na hivyo hutumia hili kwa faida yao.
 
Sasa mbona maswalitu? Au unataka sisi ndo tuweke majibu?
 
Tusaidieni...Wengi tunakerwa na hawa Traffic tupate kujua haki zetu...Hasa hiyo ya kuchukua Leseni, na hii yakulipia NOTIFICATION barabarani...Hatuna hakika kama hela hizi zinafika sehemu husika...Tungependa kuwe kunamfumo wakulipia ikiwezekana kwa njia za Electronic kwenda Traffic kabisa makao makuu..

Back
Top Bottom