Darasa la 7 tukutane hapa: Kikao cha dharura

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Kutokana na kinacho endelea bungeni, hasa kudharauliwa kwa wenzetu darasa la 7 bila kujali mchango wao katika taifa hili, ni vizuri jambo hili tulijadili kwa kina.

Kabla ya yote napenda kuwatambulisha viongozi wa chama cha darasa la 7 Tanzania

1. M/Kiti : Msukuma (Mb geita vijijini).

2. Katibu: Sanga (Mb Makambako Njonbe).

3. Mweka hazina:Mbunge wa kahama.

Agenda za Kikao:
1. Kumshinikiza Spika ateue darasa la 7 kwenye kamati kuhimu za Bunge

2. Kupeleka maombi maalumu kwa Rais mama Samia, ateue waziri wa elimu darasa la 7

3. Cheo cha Dr na Prof kifutwe na kisitumike kabla ya jina la mtu, Dr ibakie kwa madaktari tuu na Prof litumike kumtambukisha mwalimu yeyote hata kama ni wa shule za vidudu.

Wajumbe karibuni kwa maombi, mwenyekiti kesha fungua kikao.

 
Kikao cha vilaza...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama huna hela hata kwenye kikao hiki hutakiwi.. darasa la 7 ndio tunaendesha uvhumi.wa nchi hii
Heeee duh kweli asee,,alafu la saba wabishi sana kwenye kusaka noti,kama huyu Kishimba nilisikia ana miradi kati ya Zimbabwe ama Botswana kawekeza huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…