Karibuni kujifunza biashara.
Ni muda mrefu sana toka niwe humu na kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha, sikuweza kutumia kabisa social platforms yoyote. My name is Maedson Mahonge (Mtanzania). Na mtaalamu wa biashara ndogo ndogo kwa kutumia social networks ikiwemo jamiifolum, Websites and blogs.
■□■●●●■□■●●●
Lengo la kufungua uzi huu ni kuweka uelewa thabiti (awareness) kwa wapenzi wa biashara ndogo ndogo au kwa wote ambao ni woga wa kuanza biashara kwa sababu mbalimbali..
[Angalizo]
Si kila mtu ni mfanyabiashara. Na si lazima uwe mfanyabiashara.. Kama unatamani kufanya biashara au unafanya bila mafanikio.. This is yours!
Mimi si tajiri, si maskini ila ninatimiza mahitaji yangu na kufanya biashara zangu bila shaka yoyote.. niko na timu yangu watu wa tatu tu! Na tunafanya biashara Tanzania, Kenya na Uganda.. Rwanda na Burundi, Soon tutaanza!
☆☆☆♤☆☆☆☆
Pia tunafundisha, kutoa misingi na nidhamu kwenye biashara. Lakini bila kusahau tunasaidia kukuza mtaji mdogo kwa watu na kuwawezesha kufikia malengo ya fikra zao!
Lengo ni kutoa elimu tu na kukupa muongozo na si vinginevyo!
Natanguliza shukrani..
Asanteni na karibuni sana■