Darasa la kupigilia pamba kijanja

Darasa la kupigilia pamba kijanja

Kwa Kwel mimi hakuna vazi napenda kuvaa kama suti
Nikivaa suti huwa nafeel very confident na nahisi ndo vazi pekee linalonipendeza
2a7039e99729a9efb1d8efdaf6bcf6ba.jpg
 
MI jinsi nyeusi na shat la shambarau, kiraba chin, mkonon saa basi napendeza sana najionaga
 
Mimi nikivaaga shati nyeusi na 'kamodo' keupe najizolea sifa kibao....halafu chini nina 'karaba' keusi!weeeh.
Mkononi nina 'kasmatifoni' kamechomekwa 'earphone' nyeupe.....
Natamanigi nivae hivyo muda wote[emoji14]

Wewe ukivaaje unapendeza?
Kila nguo nikivaa inanipendeza.
 
Daah mi sijui kwanii iliopo ndo naivaa sasa sijui nikipendeza nakuajege..
 
Gauni ya kuachia,,kushika juu chini kumwaga,,,cha kabisa
 
Mi napenda shat ya kaki juu chini suruali black AF chini simpo ya rangi ya kijeshi au kijan na saa mkononi ya kaki kofia ya kaki simu gold smartphone gamba LA kaki miwani sitaki
 
Mi napenda shat ya kaki juu chini suruali black AF chini simpo ya rangi ya kijeshi au kijan na saa mkononi ya kaki kofia ya kaki simu gold smartphone gamba LA kaki miwani sitaki
shati ya kaki tuko pamoja

shati ya kaki, nyeusi, nyeupe

chini jinzi blue, suruali khaki

raba nyeusi, moka
 
Back
Top Bottom