Darasa la kupigilia pamba kijanja

Gauni ya kubana au jeans na top. Nikivaaga skirt najiona wa ajabu sijui kwanini..
 
MI jinsi nyeusi na shat la shambarau, kiraba chin, mkonon saa basi napendeza sana najionaga
 
Mimi nikivaaga shati nyeusi na 'kamodo' keupe najizolea sifa kibao....halafu chini nina 'karaba' keusi!weeeh.
Mkononi nina 'kasmatifoni' kamechomekwa 'earphone' nyeupe.....
Natamanigi nivae hivyo muda wote[emoji14]

Wewe ukivaaje unapendeza?
Kila nguo nikivaa inanipendeza.
 
Daah mi sijui kwanii iliopo ndo naivaa sasa sijui nikipendeza nakuajege..
 
Gauni ya kuachia,,kushika juu chini kumwaga,,,cha kabisa
 
Mi napenda shat ya kaki juu chini suruali black AF chini simpo ya rangi ya kijeshi au kijan na saa mkononi ya kaki kofia ya kaki simu gold smartphone gamba LA kaki miwani sitaki
 
Mi napenda shat ya kaki juu chini suruali black AF chini simpo ya rangi ya kijeshi au kijan na saa mkononi ya kaki kofia ya kaki simu gold smartphone gamba LA kaki miwani sitaki
shati ya kaki tuko pamoja

shati ya kaki, nyeusi, nyeupe

chini jinzi blue, suruali khaki

raba nyeusi, moka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…