Hakuna fomula ya kutongoza, maana wapo wanawake wengine hawapatikani hadi wamerushiwa matusi ya aina fulani, wengine hawapendi tafsida, wengine hawataki busara, hekima, heshima, wengine wanataka pesa, wengine wanataka wakupe pesa wenyewe, wengine hawataki married men, wengine hawataki singles, wengine wanawapenda wapole, wengine wanawapenda wakorofi nk....!

Only four things to be considered by a man in succeeding a woman;

Mwanamke hupenda kusifiwa, kufagiliwa; hata kama hana sifa hizo, huwa wanapenda kupewa tu....! Hapa ndio uongo mwingi hutumika, na hapa pia ndio mwanamke anaanza kukulist kwenye kichwa chake....! Na kwa kuwa wanawake wengi hupenda kumuona mwanaume amechanganyikiwa kwake, basi na mwanaume akiweza kupanga maneno vizuri, basi atapata nafasi nzuri ya kusonga mbele....!

Kwa kuwa wanawake wengi hupenda kuahidiwa kuwa utakuwa naye daima, basi ni vema ukamuahidi hivyo; kuwa kamwe hutomwacha....! Waweza kumzuga kwa kumtambulisha kwa rafiki yako mmoja ili aamini hivyo....! Na hapo utakuwa umemfanya akufikirie zaidi....!

Mpatie ahadi lukuki, hata bila kujali kama utaweza au lah...! Lakini huwa wanawake wengi hupenda kuhakikishiwa kuwa wataridhishwa katika haja zao....!

Siri; hii pia ni jambo lililo muhimu sana kwa mwanamke....! Ukiweza kumwaminisha mwanamke kuwa mahusiano yenu yatakuwa ya siri daima, hasa kwa wale wenye mahusiano mengine au ndoa, utakuwa umejiwekea nafasi nzuri sana kumpata....!

Haya ni baadhi ya mambo tu, lakini huwa swala la kutongoza halina fomula kabisa....! Humu MMU kuna mmoja aliwahi kusema "napenda sana mwanaume wa kunibaka walau mara moja kwa mwezi" So, ukijaribu kuangalia utaona kwamba haya mambo hayana fomula kabisa....!

Ni mtazamo wangu tu....!