jinsi ya kumkonvice mtu mwende iyo sehemu tulivu suppose ni mgeni
wewe ndo umekaa hivo kingono ngono hata historia ya jina lako inathibitisha to hellYawezekana umekaa wa kuchapa tu na kusepa kiasi kwamba kuzunguka sana kwao haikuwa ishu saana,ama tuseme unayo bahati mbaya sana kukutana na wanaume wenye upeo mdogo kimahaaba!
kweli iyo ni approach nzuri wanawake tunapenda ivo unaonekana mstaarabu kiasi sio mambo yaende tu vuluvuluSio kitu cha siku moja kama nina nia na wew e
huwa inaanza mazoea na mazoea yanajenga urafiki na urafiki unaza uhusiano wa karibu ambapo naweza kukualika outing sehemu mbalimbali
sio kitu cha siku moja
Japokuwa kumuaproach mwanamke hakuna fomula ila hiyo ya hao ni ya kijinga sana,kutongoza kunategemea na mwanamke mwenyewe utakavyomsoma,dada hao ni wajinga sana!
Tell me about your swag...
kweli iyo ni approach nzuri wanawake tunapenda ivo unaonekana mstaarabu kiasi sio mambo yaende tu vuluvulu
kweli iyo ni approach nzuri wanawake tunapenda ivo unaonekana mstaarabu kiasi sio mambo yaende tu vuluvulu
eti ooh dada umevaaje leo huko ndani?Asante kwa compliments
Aise kama nataka nijenge mahusiano yenye heshima kwa mtu siwezi kuanza na masuala ya ngono
Ngono ni baadae sana baada ya kukujua na tumeshakula hata good time kidogo ndo sasa nitaingizia hilo
Ahhh unanikumbusha strategy zangu bana
kwako imekaaje?ukumbuke pia wanawake wanatofautiana na ustaarabu kwako sio kwa mwingine, au ushamba kwako si kwa mwingine.
eti ooh dada umevaaje leo huko ndani?
mara umelalaje unaangalia juu chini? yaani siku nikimshika namuwasha vibao wallah
eti ooh dada umevaaje leo huko ndani?
mara umelalaje unaangalia juu chini? yaani siku nikimshika namuwasha vibao wallah

Hakuna kutongoza mijini, waweza kutembea na mwanamke japo hujawahi kumtamkia maswala ya mapenzi.

Hakuna fomula ya kutongoza, maana wapo wanawake wengine hawapatikani hadi wamerushiwa matusi ya aina fulani, wengine hawapendi tafsida, wengine hawataki busara, hekima, heshima, wengine wanataka pesa, wengine wanataka wakupe pesa wenyewe, wengine hawataki married men, wengine hawataki singles, wengine wanawapenda wapole, wengine wanawapenda wakorofi nk....!

Only four things to be considered by a man in succeeding a woman;

Mwanamke hupenda kusifiwa, kufagiliwa; hata kama hana sifa hizo, huwa wanapenda kupewa tu....! Hapa ndio uongo mwingi hutumika, na hapa pia ndio mwanamke anaanza kukulist kwenye kichwa chake....! Na kwa kuwa wanawake wengi hupenda kumuona mwanaume amechanganyikiwa kwake, basi na mwanaume akiweza kupanga maneno vizuri, basi atapata nafasi nzuri ya kusonga mbele....!

Kwa kuwa wanawake wengi hupenda kuahidiwa kuwa utakuwa naye daima, basi ni vema ukamuahidi hivyo; kuwa kamwe hutomwacha....! Waweza kumzuga kwa kumtambulisha kwa rafiki yako mmoja ili aamini hivyo....! Na hapo utakuwa umemfanya akufikirie zaidi....!

Mpatie ahadi lukuki, hata bila kujali kama utaweza au lah...! Lakini huwa wanawake wengi hupenda kuhakikishiwa kuwa wataridhishwa katika haja zao....!

Siri; hii pia ni jambo lililo muhimu sana kwa mwanamke....! Ukiweza kumwaminisha mwanamke kuwa mahusiano yenu yatakuwa ya siri daima, hasa kwa wale wenye mahusiano mengine au ndoa, utakuwa umejiwekea nafasi nzuri sana kumpata....!

Haya ni baadhi ya mambo tu, lakini huwa swala la kutongoza halina fomula kabisa....! Humu MMU kuna mmoja aliwahi kusema "napenda sana mwanaume wa kunibaka walau mara moja kwa mwezi" So, ukijaribu kuangalia utaona kwamba haya mambo hayana fomula kabisa....!

Ni mtazamo wangu tu....!

Kaka umemaliza karibu kona zote halufu nina swali dogo tu hii ndiyo style uliyoniporea nayo kwa Preta siku tulipokuwa tunatoka porini Tarangire?
Nadhani hii ndiyo sababu inayotufanya sisi wakina meku tukae bar mpaka saa saba tukisubiri zifungwe tuondoke na mabar maid wakishamaliza kazi hawana usumbufu hela yako tu leo ni zamu ya masawe kesho chuwa kesho kutwa minja nk.mpaka tunatosheka mnaishia kututisha eti tutamalizika na ukimwi kwani nani ataishi milele!