Darasa la kutongoza kwa wanaume

You are one confused and miserable young lady! Sleeping with every man who approached you lowers your dignity, but catching diseases will not be fun! Get your acts 2gether because you won't be young forever. Couples of years down the line, those men you're changing like underwares will nickname you "Easy going" because that's exactly what you'll be! God bless you.

Inategemea na jinsi msichana alivyojiweka,kama yey hajiheshimu ya nini mi nimtogoze kiheshima,we kama unajiheshimu lazima utatongozwa kiheshima tu.

mambo ya kutongoza yamepitwa na wakati. Na wewe mcchana kama unasubr hadi mtu akuconvies kwa maneno bac wote mnamatatizo. Karne hii nikumjengea mdada mazngra mazur na umwonesha kwa vitendo vya heshma dat unampenda, sio unatia bra bra nyiingi,oh nlipo kuona,ooh........ Ki2 cha kwanza ni kutengeneza frndshp,and ili muwe marafiki nilazima mshee interest. Humu ndani kuna watu hawajui vitu vng sana ndo mana wanapigwa vibuti.

Kumbe mko wengi eehhh mbona nilitaka nianze mbio pale kwa Preta

Kama una mbavu karibu ila mwenyewe nimechemsha kama cm.ya mchina nataka na mimi nihamie Kericho labda ataniwazia maana yule mtoto anapenda safari utadhani kala makongoro ya farasi

Derimto u make my evening maana nimecheka mbaya

Hao hawana cha outing wala nini unajichagulia

Na wakati unaingia kabla hujapata bottle uliwaona wabaya sana na hawana shape ila bottle zikiwa kichwani ni balaa

Sasa haujaupata raha umkute aliye na pesa kuwazidi wenzake watamwimbia na mapambio ya sifa watalewa mpaka wachanganyikiwe halafu ataishia kulinda hela zilizobaki zisipotee na bar maid anachukuliwa na kimario ingawa ni shayo alishafanya booking na kunua pombe yote ila pombe imezidia na hayuko tayari kupotea hela zake.

Unaonaje ukafungua darasa ukatufundisha jinsi ya kutongoza kwa adabu??

Kama una mbavu karibu ila mwenyewe nimechemsha kama cm.ya mchina nataka na mimi nihamie Kericho labda ataniwazia maana yule mtoto anapenda safari utadhani kala makongoro ya farasi

Mkuu najitosa mzima mzima na kama anapenda safari mimi hapa ndio mwenyewe ataenda kila atakako
We sema umekata tamaa hujachemsha bana

hahahahah huwa naona mkuu yaani jicgo la kila mwanaume linamwelekea na macho ya kumtamani na mashindano ya kumnunulua bia yanakuwa mengi sana ila mwenye kisu kikali ndie alaye nyama

hahahahah huwa naona mkuu yaani jicgo la kila mwanaume linamwelekea na macho ya kumtamani na mashindano ya kumnunulua bia yanakuwa mengi sana ila mwenye kisu kikali ndie alaye nyama

Wewe ni Rocky Balboa au Rocky Marciano?

hapo ndo dada zangu siwaelewi kabisa!huyu jamaa wa tatu ye alikuwa muwazi kabisa na kukwambia AMEKUTAMANI,we ukammwagia mvua ya matusi(huna ustaarabu kabisa dadangu!!).mi nilidhani ni vema mtu kuwa mkweli tangu mwanzo?!so ulitaka aanze na mistari ya'yani nakupenda kuliko ubwabwa na maharage,nakupenda kuliko chai ya maziwa,yani niko tayari kufa kaajili yako hata kama unajua ni uongo we ungesikia raha tu??!!
halafu bi-dada,mwanamke wa kweli hajisifii kuporomosha matusi,katika mazingira yoyote yale.we shukuru Mungu unatongozwa,wenzio wanomba mungu hata wasalimiwe!au basi ukianza tu kutongozwa uwe unawajulisha kabisa watongozaji namna gani unataka wakutongoze...lol!

jupiter..pluto..venus n saturn..sex planet.. Mie nakurushia voucher ya 500 tu.!

betito,wapo haooo na unaelea kktana nao.zoea tu

Wanaume wengine anaanza kujisifia nimesoma mara nina gari na mashauzi kibao, kweli kuna wanaume ambao hawajui kutongoza kabisa tena huwa wanaboa na wengine ana domo sege.

mama jeri ulimpata jeri lini?
Mbona wajipa maujiko kama wewe ni kigoli?
Swali la msingi kwa huyu manzi ni hilo hajawahi kumkubali mtu mpaka awaponde kishenzi washikaji?
Kifupi, kutongoza kwanza kunahitaji kujiamini sana. Pia ni lazima ujue unamtongoza nani, ana hulka gani, kwake mapenzi yana nafasi gani kwa maana kuna wanawake kwao mapenzi hawayajayapa kipaumbele kivile.

Du! wanaume wa siku hizi washamba. Ukikutana na mtu ni vitendo tu viitakufanya ajue unamfeel. Mtu akinambia eti nakupenda kama nina kohozi namtemea usoni. (kuna aina nyingi za uchokozi, ukiwemo kukonyeza, movement), wenyewe tunablow ila ukija na swaga za kkuongoea ujue wewe una tatizo kichwani mwako si bure.

Pole kwa wale ambao bado wana swaga za kutongoza kwa maneno

Kaka umemaliza karibu kona zote halufu nina swali dogo tu hii ndiyo style uliyoniporea nayo kwa Preta siku tulipokuwa tunatoka porini Tarangire?
Wanaume wengi wanaojipanga kutongoza hawafanikiwi.....! So, always let the nature take place....!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…