Darasa la kutongoza kwa wanaume

kwani wewe ulitaka akutongoze vp? ndo ungetakiwa udadavue hiyo mistari
 
Copy & paste. Bisha
 

haah haah haah mkuu hiyo strategy yako kwa sasa ipo expired.

Yani demu umu approach then akubali na uwe nae karibu na kula gud tym kadhaa then muda mrefu upite bila kuomba game?! Kwa madem wa sasa wanaweza kuhisi ww sio rijali.
Labda kama utakua hujamtongoza na akakukubalia kwa muda huo ambao mnakula gud tym bt kama kashakubali hapo kinachofuata ni kumpa bakora za ukweli otherwise atahisi una mwingine nje au atahisi hau function.
 
Yan hyo ya kutongoza kiheshima uchukua mda mref alaf mwisho wa siku anapigwa chini. Na ukiona katumia njia flan kukutongoza ujue kuna sehem alifanikiwa. Mie nkitongoza naomba mzigo moja kwa moja so hata tukiwa tunazungushana ni mzigo tu nataka mambo ya nakupenda yatakuja baada ya kuona quality ya mzigo. Sasa hizo njia za heshima nakupenda nying, akisha kubali unaanza tena application za mzigo tena wat 4 hii ni upotevu wa mda.
 


Haaah haaah dah mkuu much respect, ulichosema kina ukweli fulani japo nimecheka mbaya haaah haaah dah yani kuna wanaoomba japo wasalimiwe tu haah haah

ok. swali kwa ma jery je una mtoto aitwa Jerry?
 

Nimeku-PM, ukisoma tu hutoki ng'o! lazima uje kwangu!
 

Mwache aendelee na hiyo strategy yake ya wakati wa akina yombayomba---sio mbaya, wakatii yeye anakula nae good tym, wenzake wala vitu!!!
 
nakupenda sana
usiku silali nakuota wewe,
nikinywa maji nakuona kwenye glass,
NIKIENDA CHOONI NAKUONA KWENYE TUNDU LA CHOO
kiufipi wewe nikubali ufaidi friji, video na gari la baba pale nyumbani.
na kesho mama ananinunulia nguo ya sikukuu ya iddy tutaenda wote kuangalia video.
nakupenda kama apple na sukari.
 
Mwache aendelee na hiyo strategy yake ya wakati wa akina yombayomba---sio mbaya, wakati yeye anakula nae good tym, wenzake wala vitu!!!
mkuu umeona enh?
Kuna gal mmoja kuna brazamen alijifanya kumtokea na ahadi kibao, outing,shopping n.k akakubaliwa wakawa wapenzi ila jamaa eti akajifanya hamegi eti anaogopa ataonekana ana pupa.
At the same time huyo dem alikua kashamtosa boy wake wa mwanzo ili awe na huyu brazamen.
Sasa alipoona jamaa hamegi ikabidi atafute mwingine wa kumpa.
So mpaka leo brazamen anampa demu gud tym wakati mwenzake kitaa anakula mzigo daily mpaka demu amenogewa anaomba aolewe na mshkaji.
 
Hii thread!!

Derimto ukishamaliza hili darasa urudi na fimbo kabisa!

mi mwenyewe ssielewi!

nilitegemea kukuta darasa..sasa sie wengine tulishastaafu, actually sijui kama kuna anayeongelea mwanamke kumtungoza mwanaume cause thats the norm nowadays, hujambo lkn MJ1?
 
kutongoza kama maisha 2 no kanuni na kila m2 anastaili yake.
 
kutongoza hakuna formula.... Wengine niliwapata bila hata kutokea.... Halafu hapa mjini kufikuzia dem muda mreeeeeeefu ni ushamba tu.... Na hit to the point kama dem hasomeki napotea kuokoa mda na vocha.... Kitu gani...
 
Sio kitu cha siku moja kama nina nia na wew e
huwa inaanza mazoea na mazoea yanajenga urafiki na urafiki unaza uhusiano wa karibu ambapo naweza kukualika outing sehemu mbalimbali
sio kitu cha siku moja
Hapa naona unaongelea potential candidates, otherwise haiwezekani upoteze muda mwiiiingi kwa mapenzi ya dot com yale ya kukutana kugonga na kusepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…