Darasa la kutongoza kwa wanaume

eti ooh dada umevaaje leo huko ndani?
mara umelalaje unaangalia juu chini? yaani siku nikimshika namuwasha vibao wallah
Unajua hapa tuna upande mmoja tu wa stori. Tunaweza kuwalaumu sana hao washikaji kumbe inawezekana mwenye tatizo ni wewe. Kwa sababu hainingii akilini watu wote hao waje kwa staili hiyo hiyo moja. Inawezekana wewe mwenyewe unajilengesha kwa namna moja au nyingine. Asikwambie mtu wanaume wote wanatongoza mwanamke kwa namna anavyorespond katika mazungumzo. Na ndiyo maana kuna wanawake ambao unaweza kuonana nao leo hii na ukawaambia nataka twende nikaku......mbe na bado ukapewa mzigo.
 
Kwanza siku hizi kuna kutongoza tena kweli
maana nfikiri kutongoza kumebaki kwa hivi vitoto vya sekondary na msingi
mtu mzima najipinda kweli kutongoza na kutangaza sera zangu nyingi na ahadi nyingi za uongo

Bora useme wewe! Maana ile ART ya kutongoza nadhani imeondolewa na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya habari. Unajua zile za zamani umekaa meza moja na mdada unamwaga sera zako ilikuwa ina raha yake!
 
Bora useme wewe! Maana ile ART ya kutongoza nadhani imeondolewa na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya habari. Unajua zile za zamani umekaa meza moja na mdada unamwaga sera zako ilikuwa ina raha yake!

kabisa mkuu
hakuna tena raha siku hizi maana ulikuwa unajipinda unamwaga sera mbaya kabisa
siku hizi simu na internate zimemaliza kila kitu
 

Ujue nimetafakari sana thread yako, nionavyo mimi wewe huwa kuna maneno maalumu uyapendayo kuyasikia wakati ukitongozwa na inawezekana si kila mtoto wa kike ila wewe tu,kutongoza au kutongozwa hakuna kanuni,lile tukio maranyingi hutokea kulingana na mazingira,mood,muda na umri wa wahusika wenyewe, hivi vitu ndo determination kubwa ya kufacilitate au kukwamisha process nzima ya kutongoza au kutongozwa.Mimi sioni kosa kwa yule aliyekwambia nilikutamani toka ukiwa mdogo,tusidanganyane hapa "kutamani na kupenda" ni ngumu sana kuvitenganisha. kwa case namba moja na mbili hizi ni vulugu za maono tu za watoto wa kiume kama ushamba fulani ambao kwa mtoto wa kike makini ana-solve bila shaka kabisa wala haimsumbui. just cheer up lady!
 
<br />
<br />
Kwanza swala la kufanya ustaarabu fake ctalizungumzia hapo,na hii njia co ya kupata mtu wa kugonga na kuacha. Mke mwema hupitia chio hzo othrwiz mwaka hammalizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…