Acha kudanganya mkuu

Approach yako si lazima iwe ya wote. Eti utengeneze urafiki kwanza, for how long? Chelewa chelewa utakuta mwana si wako! Kanuni zangu kama huyu nang'oa (I.e. Nakubalika kwake) nakong'oa tu hata kama nije waluwalu kinoma. Na kama huyu si wa kung'oa hung'oi ng'o hata uje kistaarabu namna gani. Na kwa sababu hiyo kuna mademu waweza ng'oa ndani ya siku 3, wiki, mwezi, miezi mitatu and so forth. Na kama si wa kung'oa hata ukomae vipi hutang'oa sana sana utajichosha bure kwa kupretend kuonesha ustaarabu fake usiokuwa nao