Darasa la Programming for beginners (Jifunze Kutengeneza Website From the Scratch)

Asante sana kwa somo zuri mkuu na pia umeeleweka vizur sana kwa lugha nyepesi ambayo unajarib kuitumiaa..ila tungependa usiishie kati uendelee mpk pale somo litakapo ishiaa!
Tupo pamoja mkuu mpaka mwisho
 
wadau kuweni watulivu kama mleta topic ameahidi kufundisha hili jambo inabidi muwe watulivu maana pia inahitaji muda kuandaaa ili uweze Kuelewa nini anaandika maana coding sio kama story inahitaji muda na uwelewa tuweni watulivu
 
upo sahihi.
 
Back
Top Bottom