Eeebana Eeeh sorry kwa kuutelekeza huu uzi kwa mda,
Nimeona kuna baadhi wa watu wana ham ya kujifunza kuhusu Fundamentals za Computer Science & IT
Kama Web development , Mobile App Development na Hata Software Development
Nitaundeleza huu uzi next week baada ya PASAKA
Na I hope Nita Cover Latest Programming Technologies kama
>>React Native for Cross platform Mobile Development (Ios && Android)
React Native kwa ufupi ni Hottest app development framework kwa sasa,ambayo itakusaidia ku create Mobile app ya ukubwa wowote ule kwa urahisi
>>Tutajifunza pia Laravel (Ver 5.8)
Hii ni PHP framework kwa ajiri ya web development
>>Pia nitagusia kuhusu Tailwindcss ambayo kwa wale wabovu wa CSS hii ni framework muhimu zaidi kujifunza
Kwa sababu itakuwezesha ku design complex UI components bila hata mstari mmoja wa CSS