Darasa la Programming for beginners (Jifunze Kutengeneza Website From the Scratch)

Wakuu Thanks kwa response yenu mlioonyesha kwenye huu Uzi.....
Uzi ambao niliandika kimasikhara (Ku test uwezo wangu wa Ku introduce hard concepts kwa lugha nyepesi) umekua na impact kwa kiasi kwa baadhi ya watu..

Majukumu kidogo yamenitinga but nikipata mda tutaendelea na somo letu..

Nitajitahidi pia kusahihisha makosa yangu mwenyewe ambayo nayaona kwenye huu Uzi

Na tuta ongeza baadhi ya Technologies tutakazopitia

Baadhi ya Technologies mpya tutakazo zisoma ni pamoja na

Laravel
Vuejs
Tailwindscss

Na Programming languages tutakazo zisoma ni
Php 7
JavaScript

Project tutakayofanya pamoja mwisho wa course ni

Online Marketplace kwa ajiri ya kuuza vitu used

Technologies zitakazotumika: Laravel,Vuejs,Tailwindcss


Nitajitahidi tujifunze kila kitu from the scratch
 
Tunasubiri hizo project

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimefurahi sema kitu kimoja ambacho kaka zetu mnaharibu ni kuanzisha jambo na kuishia njiani kila siku humu watu anzia thread za kutusaidia then wanaishia njiani naumia sana aiseee pia ningekuomba tuwe na group la whatsap itapendeza pia kaka
Suree mzee
 
we jamaa unapata dhambi sana kuwaaminisha watu kitu kisichokuwepo tangu 2019 mpaka leo haundelezi uzi unajiharibia na kujipotezea uaminifu.
 
Wabongo hata vya kupewa bure mnataka kumkaba koo mtu kajitolea..
Umeshapewa Intro, nenda katafute muendelezo mwenyewe kama uko interested....
 
Nini tofauti ya haya maneno ? application, program na software
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…