Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Wakuu,
Tumeambiwa kwamba STD VII elimu yake ni ndogo sana na hawezi kutunga Sheria Bungeni, lakini tumeshuhudia maoni ya hao hao STD VII yaliyobatizwa jina la maoni ya "Wananchi walio wengi" yalivyokuwa DILI ndani ya RASIMU YA WARIOBA yaliyosababisha watu wazima wenye Elimu zao kususia hata mjadala wa Bunge Maalum la Katiba ili kuunga mkono mawazo yao hata kama sio wengi (yaani watu 19,000)!
Inakuwaje hao wananchi ambao Elimu zao hazijai hata mkononi waweze kutunga Katiba lakini wasiweze kutunga Sheria tu za kawaida Bungeni?
Au hawa wana-UKAWA wanachanganya "kuandika (drafting) Sheria" na "kutunga sheria" kiasi kwamba wanafikiri kwamba STD VII wataachiwa ku-draft sheria akiwa Bungeni?
Tujadili zaidi!!