dedam
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 845
- 166
Mwaka huu darasa la saba wanatarajiwa kufanya mitihani kwa kujaza majibu kwe fomu maalumu ziitwazo OMR. Watatumia pensel maalum za hb. Je wanafunzi wetu wataweza kweli kwa mfumo huu mpya. Ukizingatia kuna kipindi walikuwa wakijisajili kwa kutumia OMR baraza wakaziondoa baada kuona Madudu yakifanyika hasa kwa shule za vijijini?