Darasa la SABA kufanya mtihani kwa kutumia OMR

Darasa la SABA kufanya mtihani kwa kutumia OMR

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Mwaka huu darasa la saba wanatarajiwa kufanya mitihani kwa kujaza majibu kwe fomu maalumu ziitwazo OMR. Watatumia pensel maalum za hb. Je wanafunzi wetu wataweza kweli kwa mfumo huu mpya. Ukizingatia kuna kipindi walikuwa wakijisajili kwa kutumia OMR baraza wakaziondoa baada kuona Madudu yakifanyika hasa kwa shule za vijijini?
 
Ni mfumo mzuri lakini lakini unahitaji maandalizi ya kutosha
 
Hehe penseli maalimu za HB sio! Ni mfumo mzuri kama wakifanya maandalizi, kuwe na sample exams kabla ya mtihani wenyewe, pia maswali karibia yote yanabidi yawe ya multiple choice sasa.
 
Back
Top Bottom