DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Kina msukuma si wanachangia hukoHivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.
Sawa Ila sio kwa kutumia fikra tunduizi.Kina msukuma si wanachangia huko
Yule huwa sana sana anaongea Madhara ya tatizo ila kuhus chanzo cha tatizo huwa hagusi huko, na kwenye Utatuzi wa tatizo ndo kabisa huwa haeleweki.Kina msukuma si wanachangia huko
Bungeni kuna Degree, Masters na PHD za kutosha, vipi umeona kuna tofauti yoyote?? Au yale majivuno kuhusu elimu ndiyo tunayahitaji??Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.