Darasa la ujasiriamali

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
Habari ndugu....
Naitwa morris daudi mtanzania ninaeishi dsm....tuna kampuni yetu ambayo tunatoa mafunzo ya ujasiliamari.....tunafundsha jinsi ya kufanya biashara kisasa....tunafundsha online marketing...ufugaji wa nyuki...kuku...samaki pamoja na kilimo cha uyoga....bila kusahau tunafundisha na kuandaa MEMART kwa wanaohitaji kufungua na kumiliki kampuni binafsi na tunawasaidia mpaka hatua ya mwisho....tunafundsha utengenezaji wa batiki na sabuni za maji na vipande...pia utengenezaji wa pipi..vile vile tuna wa link wajasiriali na taasisi za kifedha....mafunzo haya tunayatoa kwa njia ya mtando hasa Whatsapp lakn vile vile kwa njia ya kuonana moja moja kwenye madarasa yetu bugurun na tabata dsm......hivyo baso kwa mtu alie tayari kujiunga na safari ya mafanikio "a success journey...pia tunafundisha jinsi ya kupata mtaji kama kijana na kujiajiri......n inbox number yako ni kwa gharama nafuuu kabisa....week ya kwanza bure
 
Asante Kdany kwa kuonesha nia ya kutoa maarifa ya ujuzi kwa vijana wenzako ambapo na wewe unajipatia ujira kidogo.

Binafsi nimekuwa nikisaka kila kona mafunzo ya aina yoyote ya ujuzi wa kuzalisha bidhaa aina yoyote ambayo itanisaidia kuongeza kipato changu.
Katika taarifa yako, kitu kilichonivutia ni utengenezaji wa sabuni ya kipande mche na maji. Natamani kujifunza vitu hivi. Swali je naweza kumudu gharama za vitendea kazi na kutengeneza bidhaa zitakazoingia sokoni kwa ushindani?

Je mafunzo hayo yanachukua muda gani?

Kwa sasa mimi nina biashara ya genge (nyanya,vitunguu,chumvi na vinginevyo...)
 
Mkuu karibu sana....namba n 0719477815 karibu kwenye the success team..

Mkuu kdany, Umerudi kutoka ujerumani? Au ulighairi kwenda kusoma?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…