Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
- Thread starter
- #21
Vijana mna maajabu. Its just socializing.Kakuzimia ama mmezimikiana tayari... hongereni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana mna maajabu. Its just socializing.Kakuzimia ama mmezimikiana tayari... hongereni.
Mmhhhm, hivi mkuu kwa namna anavyokuita ita hujagundua kitu? Au unatuzugaa?Vijana mna maajabu. Its just socializing.
Si kaniita jina langu, hakuna matata.Mmhhhm, hivi mkuu kwa namna anavyokuita ita hujagundua kitu? Au unatuzugaa?
Ana mahaba ndindinsi huyo bibi wa calgary Canada.Si kaniita jina langu, hakuna matata.
Ingawa sijaelewa maana ya hilo neno, kazi iendelee.Ana mahaba ndindinsi huyo bibi wa calgary Canada.
Hata hivyo hayo ni mapenzi yenu... turudi mezani... enhe mwauzaje hizo blocks?Ingawa sijaelewa maana ya hilo neno, kazi iendelee.
Kati ya blocks zetu zinazookoa sana gharama na muda wa ujenzi ni hizo floor slabs.
View attachment 2327996View attachment 2327997
View attachment 2328008
Hahahahaha, mahaba niue.Hata hivyo hayo ni mapenzi yenu... turudi mezani... enhe mwauzaje hizo blocks?
Linakua na ukubwa gani? Kwahiyo wapachika bila cement? Mafundi wanayawezea?Hahahahaha, mahaba niue.
Moja kwa Shillingi 1,000 tu.
Ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu.
Size ni around 10x20x40 centimeters.Linakua na ukubwa gani? Kwahiyo wapachika bila cement? Mafundi wanayawezea?
Kuna precast roof slabs tunaweka halafu tunamwaga zege la inchi mbili (2" only).Nilikuwa nataka kujua mnatumia njia gani ktk ujenzi wa ghorofa upande wa kumwaga zege, yaani mnamwaga zege au Kuna blocks mnaweka?
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Ahsante, lkn bado sijaelewa vizuri, kwanini mnaweka zege (2inches) ilhali kuna precast slabs kama ulivyosema? Ufafanuzi tafadhali na picha zaidi kama inawezekana.Kuna precast slabs roof slabs tunaweka halafu tunamwaga zege la inchi mbili (2" only).
Zinaokoa sana gharama ya bati, mbao za bati, gypsum boards na mbazo zake, zote hazihitajiki tena, na unapata nafasi kubwa sana juu ambayo ingefunikwa na bati. Jionee chini hapa.View attachment 2331487View attachment 2331488
View attachment 2331489
Kwa ajili ya kuzi lock in place.Ahsante, lkn bado sijaelewa vizuri, kwanini mnaweka zege (2inches) ilhali kuna precast slabs kama ulivyosema? Ufafanuzi tafadhali na picha zaidi kama inawezekana.
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app