Director Chuma
Member
- Feb 4, 2019
- 20
- 18
Weka na CV yako bosi maana hilo ndio la muhimu. Tufundishwe na mtu compitent sio unajua ku trim clips then tunakupa views youtubeNikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma)
Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu
Kama umependa hiki ninachokifanya naomba support yako kusubscribe na nitapata moyo wa kuendelea kufanya vipindi vingine vingi zaidi karibuni sanaView attachment 1013378
Unaweza kuangalia my latest project Merry Christmas by Walter ChilamboWeka na CV yako bosi maana hilo ndio la muhimu. Tufundishwe na mtu compitent sio unajua ku trim clips then tunakupa views youtube
Dumelang
Sawa asante, natamani sana hii fursa
HayaaaKaribu sana
Chakufanya ni kuingia tu YouTube na kusubscribe channel yangu tafuta Director Chuma
Sent using Jamii Forums mobile app